hivi kuna faida gani kumfollow mtu JF?

hivi kuna faida gani kumfollow mtu JF?

Mimi kwanza hakuna option ya kumfollow mtu kwenye account yangu
 
Naam. Mkuu wakiku-tag maana yake unapata direct notification that you are tagged in a certain post.

Lakini hii ya kufollow ni mpaka pale utakapoamua mwenye kuiendea News Feed yako na kujionea. Hakuna direct notification.

Karibu Mkuu.
Nakufollow mkuu naona una maarifa kuntu
 
Back
Top Bottom