Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Show unapiga fresh, umefumaniwa, wamekula nnyaHii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga π π π π π π.
Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake
Nilijisikia vibaya sana mazee.
Kqmuulize nini kilimpata BABA yake MangeKimambi hadi akalazimisha Mungu ampende zaidiUna fikra potovu
Hy haiwezi kunikutaMkuu siku likikukuta jambo ndio utaelewa
Wewe unaweza vumilia saa moja na nusuKwanini alalamike
Pole yako mkuu, tumia vumbi la Congo tuu acha maneno mengiKua na maneno ya akiba mkuu
Naunga mkono hojaFedheha ni kukosa pesa tuu.
ππ Mimi nacheza sana mpira na sinywi pombe kabisa na ni mtu wa kazi sanaDuu huo sio uhalisia wangu mkuu siwezi kujibu