Hivi kuna fedheha kubwa kwa mwanaume kuzidi ya kushindwa kupiga show

Hyo inshu inawatokeaga vijana wadogo wanaoanza ngono,sjajua wew imekuwaje
 
Tangu niingie jf 2010, leo ndio nimekuta habari ya mwanaume inayoanza na alishindwa kuoiga show na kuisha bila show.

Nyingi huwa ni, iligoma kusimama, piga kiss sana kula mate hadi tunaondoka niliunganisha goli tano. Mrembo aliondoka miguu haina nguvu.
 
Kwa mara ya kwanza jf imepata mtu ambaye hajui kupiga show, huku wengine wote wanapiga show kuanzia dakik 45 hadi masaa 3 na wanaunganisha bao zote 3.
 
Kwa mara ya kwanza jf imepata mtu ambaye hajui kupiga show, huku wengine wote wanapiga show kuanzia dakik 45 hadi masaa 3 na wanaunganisha bao zote 3.
Sio sijui kupiga ila msogoro uligoma kusimama
 
Daaah mi nilikutana na pisi Kali,chini sasa uvundo hadi ikalala yenyewe,yaaani ile amevua TU uvundo room yote,sijui anaishije
 

Kama ambavyo mkulima kuna siku hajisikii kwenda shamba, ndiyo hivyo hivyo na igegedaji. Akili ya uroho wa kiume inataka ila viungo vingine vinakataa.

Mwili kuna wakati unakataa tu!! Ni hali ya kawaida kwa wagegedaji licha ya kwamba wengi huchukulia kama fedheha.

Iliwahi nitokea mara kadhaa, moja wapo binti alifanya kila mbwembwe lakini iligoma kabisa akaondoka zake. Alipojipendekeza wakati mwingine alilika vizuri tu. So take easy man
 
Hiyo ni hali ya kawaida kabisa ila ukitaka mambo yaharibike zaidi ulazimishe kurudisha hisia. Hisia huja zenyewe bila kulazimishwa. Ukipatwa na hali kama hiyo relax, tafuta wakati mwingine ukiwa uko poa zaidi maana lile tendo linategemea sana saikolojia yako.
 
Sex is not for everyone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…