Hivi kuna foleni mbaya mida ya jioni zaidi ya hii ya Airport hapa duniani?

Hivi kuna foleni mbaya mida ya jioni zaidi ya hii ya Airport hapa duniani?

Nasikia eti wanatengeneza barabara usiku wakati traffic ni kubwa, hivi akili za wanao plan kutengeneza barabara saa hz ni nzima?
 
Watu wa mbagala kwani nao wanasemaje?
Mbagala hakukua na foleni ila hv karibuni usijaribu huko kwenda ukifika mbagala kipati kwenda rangi tatu gari hazitembei ninmwendo wa kupiga mguu tu...
Mpaka ujemzi uishe patachimbika sana tu
 
Mlaumuni alie plan njia tatu ndio mwenye makosa 4ways zilitakiwa ziendelee had I Congo LA mboto
 
Back
Top Bottom