FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Masaa mawili na nusu,Sikuwahi kudhani kama hapa duniani panaweza pakawa na sehemu yenye foleni ya kikatili namna hii, masaa mtu hujasogea??!!!!
Mbagala hakukua na foleni ila hv karibuni usijaribu huko kwenda ukifika mbagala kipati kwenda rangi tatu gari hazitembei ninmwendo wa kupiga mguu tu...Watu wa mbagala kwani nao wanasemaje?
Pale daraja kama la tazara lilipaswa kuhusikaMkuu unakaa gongo la mboto?
Shida ya hapo ni kale ka njiapanda ka pale majumba sita kanakokutanisha na magari ya kutoka segerea