Hivi kuna Frederic Mwakalebela wangapi nchi hii?

Maelezo yanatosha kabisa
Hamna cha kuongezea
 
Yule wa Tenga na huyu ni ndugu! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ALishindwa kura za ubunge na Pita Msigwa
 
Baada ya Mikia kumshtaki Mwakakebela, ni vyema Zeruzeru achunge mdomo wake. Muda mrefu amekuwa akiitukana Yanga akijidai ni utani wa jadi.

Sasa utani wa jadi umeisha rasmi. Aweke mpaka kati ya Haji shabiki wa mitaani na Msemaji wa Club.

Aieleze TFF majina ya ajabu anatoiita Yanga ni kauli rasmi ya Simba au ya shabiki oya oya.
 
Vyura
Mbutembute
Kwasukwasu
Utopolo
Yombayomba
Gongowazi
Wacheza mdako
Yeboyebo
Wamatopeni
Mafuriko fc

Haya nendeni mkashtaki sasa.

 
Apart from kosa aliofanya juzi sikujua haya mengine brother lakini ni dhahiri bado tupo nyuma sana from the modern game

Kosa pekee iliofanyika ni kwamba amecorrect hili kosa mwenyewe Yanga ilibidi itoe statement kuhusu kiongozi wao kama ingemtetea au ingemuadhibu lakini imewapa rungu majirani wao who will do anything kuivuruga and washaanza kufanya hivyo
Kama Nike au Adidas au timu kubwa zinawakingia kifua wafanyakazi wake ilibidi Yanga wastep up na kumsaidia Mwakalebela kwa sasa ni him against the world wachache wanamuunga mkono wengi wanamkosoa udhaifu mkubwa umeoneshwa na Yanga na sio Mwakalebela

Ila Mzee wetu kwa muda aliodumu kama kiongozi wa mpira katika sehemu tofauti hili lilikua sio kosa la kufanya wewe maneno yanakufunga vibaya mno


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiki mstaraabu wa jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…