Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

Moshi hata ukitaka Crown iwe pickup ni swala la muda tu na hela kidogo unabebea majani kabisa😅😅😅
Nimeshaona mark x, grand mark II & Corolla nafikiri mpk sasa 😆
Chuga bana 😅🤣
 
Back
Top Bottom