Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

Kila mtu na maisha yake unapenda kupost do it hupendi acha sasa mtu kama furaha yake inatokana na kujipost unataka asifurahie Ili iweje maisha yenyewe mafupi acha watu wafurahie provided havunji sheria let them enjoy. Sijipost na sijali mtu akipost kama ndio furaha yake wewe kuwaita washamba na wewe una matatizo
 
Back
Top Bottom