Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,245
- 42,008
Bia ya 10 na haujapost???Posti madam tu
Now bia ya 10 😇😇😇😇😇
Mimi zikitua tatu tu mezani ile round ya kwanza ni lazima nipost kwanza ndio nianze kunywa🤣🤣🤣.
Bia ya 10 na haujapost???Posti madam tu
Now bia ya 10 😇😇😇😇😇
Hauwezi kushawishika kuwa na vitu vizuri kama hauna mpango wa kuringishia🤣🤣🤣Naomba namba yako basi niwe na view post zako ili na mimi nishawishike kua na vitu vizuri.
Wabongo wengi ni sadists wanao fit msemo wa misery koves company.Kama hujui basi ninyi wenye roho mbaya ndo walengwa wakuu, kumbe huwa mnaview ila kucomment hamcoment mnakuja kuripuka huku anonymously sio??
Kila mtu aishi ajuavyo, ukikereka na stutus zake mhide usione.
Kiranga huwa anasema watoto wake, nguo zake, nauli ya ndege yake, beach kalipia yeye wewe inakuuma nini yeye kufanya afanyayo??
Ni kweli hivyo vyote ni vyake ila anapost ili sisi ndio tuone na sio ili yeye aone.
😀 😀
Wabongo wengi ni sadists wanao fit msemo wa misery koves company.
Yani ni kama watu wasio na furaha katika maisha yao, wakimuona mtu anajifurahia maisha yake kivyake, wanaona wivu.
Mimi mambo nisiyoyapenda hata siyapi muda.
Kitu hukipendi, unakifuatilia ili iweje kama si wazimu?
Mimi sina huo ujinga wala siview wala sijawahi kupost,nimechangia tu mada,Kuona sio lazima. Kama hutaki unafanya nini kwenye page yake au status zake?
Bundle lako hupangiwi na mtu. Na yeye bundle lake hapangiwi na mtu. Akipost wanaotaka kuona wataona kama wewe hutaki usiingie kwenye page yake. To each their own.
Mkuu shida ni malezi, mtu kalelewa kwa tabu hajui furaha ikoje, mafanikio nayo kayasotea huyu akiona wengine wanaenjoy anaona kama wanatenda dhambi kwa dini yake ya shida.Wabongo wengi ni sadists wanao fit msemo wa misery koves company.
Yani ni kama watu wasio na furaha katika maisha yao, wakimuona mtu anajifurahia maisha yake kivyake, wanaona wivu.
Mimi mambo nisiyoyapenda hata siyapi muda.
Kitu hukipendi, unakifuatilia ili iweje kama si wazimu?
Dont hate bro, be inspired that you can do it to someone you love.Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana akienda Kule Kila kitu anapost status ya wasap au insta, akiwa swimming pool, kwenye ndege, akiwa anakula chakula, akiwa beach. Sasa nashindwa kuelewa inamaana anachofanya afurahii yeye anachofurahia ni kupost kutuonesha kuwa anafurahia.
Ni chuki tu. Watu wa hivyo hawaelewi dhana ya uhuru wa mtu binafsi na uhuru wa kujieleza. Wamezoea ujima na maisha ya kupangiana kuishi.Wana tools zote at their disposal za kutoangalia pages za hao watu ila bado wanaangalia, sijui hapo mgonjwa nani wanaopost au wao?
Unapost ili uone mwenyewe au kuna kitu ingine mazee?Naposti kwa simu yangu , kitimoto nanunua kwa pesa yangu wapi mimesema mtazame ??? Kama inakukera Fanya ku mute tu bwashee
Mwanaume kujiweka status maana yake unatafuta bwana si kingine.Una uhuru wa kutoposti chochote bila kuingiliwa pia wanaoposti wana uhuru wa kuposti chochote bila kuingiliwa.
Kila mtu ana namna yake ya kuishi.
Huu ni mtazamo na maoni yako wala hakuna ukweli wowote.Mwanaume kujiweka status maana yake unatafuta bwana si kingine.
Wewe kama hupendi Status, Si mtazamo wa wanaume wote wasipende Status.Ieleweke hivyo kama na wewe ni mmoja wao utapata ukitafutacho.
Mwanaume kujiweka status ni vile anatafuta bwana si kingine.Haijarishi una familia ama umri gani.Huu ni mtazamo na maoni yako wala hakuna ukweli wowote.
Wewe kama hupendi Status, Si mtazamo wa wanaume wote wasipende Status.
Una uhuru wa kutopenda Status na wengine wana uhuru wa kupenda Status.
Analamba lips yeye, aibu unaiona wewe, dah!Ila Kwa wanaume kufanya Ivo naonaga imekaa ki creepy creepy 🙄
Sielewag kwann mwanaume mtu mzima ujipost unalamba midomo huku unaimba nyimbo ya mboso mda mwingine aibu naona Mimi
Kuhusu watoto ni sawa sio vizur sana kuwapost mitandaoni mana mambo ni mengi ila Kwa mtu binafsi ni utashi wake mwenyeweMimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi.
Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana akienda Kule Kila kitu anapost status ya wasap au insta, akiwa swimming pool, kwenye ndege, akiwa anakula chakula, akiwa beach. Sasa nashindwa kuelewa inamaana anachofanya afurahii yeye anachofurahia ni kupost kutuonesha kuwa anafurahia.
Wakati wengine muda wote ni kupost watoto wao , na familia mitandaoni, nafikiri si kila mtu aliyeko kwenye contact zako ni anafurahia hivo , tujifunze kukeep privacy, hayo mambo wanafanya mastaa na ni Kwa ajili ya branding au adverts.
Kila unachofanya unapost, Kila unapoenda sehemu nzuri, au unapokula msosi mzuri post, ukivaa nguo mpya kupost, kutwa kupost watoto wako na kuwasifia, weka mambo Yako private