vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,500
Nashindwa kuelewa kwani lazima kila kitu tuige nje, binafsi mimi kama mimi sioni tija yoyote ya kuwa na wabunge kwenye hii nchi zaidi naona ni mzigo tu wabunge 400 nchi hii wa kazi gani?
Inabidi tupungize matumizi yasiyo na lazima ili tuelekeze kwenye maendeleo mengine
Kama kuna faida za bunge nchi hii kwa sasa naomba nieleweshwe!
Ama laa naomba bunge lifutwe tuone kama mambo hayataenda
Niko tayari kukosolewa