Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi.
Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa naomba anijuze tafadhali kabla sijachukua maamuzi magumu.
Kwa sababu sioni Kama Kuna umuhimu wa kumwambia mpenzi wako upo off mood bila kumwambia sababu iliyokufanya hivyo.
Au nikawaida ya wanaume wote?