Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

Hapo anamaanisha anahitaji hela na sio drama za hapa na pale..
 
Hiyo hunikutaga mimi kabisa. Kuna wakati unakua hauna mood ya kufanya chochote hata kuongea na umpendae inakua shida.

Hii mimi hunitokea hasa nikiwa sina ela halafu kila mipango ninayoseti inagoma, then ghafla unaskia simu inaita unapokea kadem kanajibebisha aaaarghh inakata stim.. Tena usiombe ktk kujibebisha huko aniandalie mazingira ya kunipiga mzinga ndio kabisaaaa namkatia na simu.. Sio kama simpendi nakua nampenda ila ndio hivyo tena nakua "off mood"

So siwezi kumshangaa huyo anaefanya hivyo huenda tunaendana tabia. Pengine anapitia crisis kubwa ya kiuchumi au kijamii na haoni umuhimu wa kukushirikisha huenda ameshaona huna uwezo wa kutatua hizo changamoto anazopitia ndio maana anaona kama unamletea gozi gozi tu unavyompigia pigia ovyo. Mpe mda akikaa sawa atakutafutokay
Okay
 
Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi.

Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa naomba anijuze tafadhali kabla sijachukua maamuzi magumu.

Kwa sababu sioni Kama Kuna umuhimu wa kumwambia mpenzi wako upo off mood bila kumwambia sababu iliyokufanya hivyo.

Au nikawaida ya wanaume wote?
Change your routine. Usipige simu kila siku. Mpigie bila ratiba maalum na usingoee muda mrefu.
Halaf punguza kimbele mbele
 
Wewe tusingewezana

Kwa mfano mimi nikitoka kazini nahitaji km 30dk za kutokuongea ongea na mtu yeyote hata na mke wangu.

Kuna mda nahitaji kukaa mwenyewe tu bila kuongeleshwa.

Sina sababu ila nipo off mood na sijisikii kuongea ongea

Mwanzo wife alidhani namuigizia ila nilivyomuoa akagundua moja ya tabia ambayo siachi ni yakuwa serious na off mood hasa nikiwa nimechoka na nina njaa Saivi keshazoea nikiwa na njaa aniulizi kitu mpaka apike amalize alete chakula mezani nikila kdg ndo anaanza maswali.

Nikiwa nimechoka yeye ni kuniacha kwa mda kwanza.

Kila mtu ana haiba yake ni vyema ukajifunza kumuelewa mtu na sio ku mjudge.Na sio lazima kisa mtu ni mpenzi wako basi mda wote awe na mood nzuri akiwa na wewe sometimes mtu anapitia mambo flani flani kwenye maisha ambayo hayupo tyr kusema kila kitu hivyo anakuwa off mood.Achana na mapenzi ya tamthilia.

Mi deal zangu zikikaa kushoto narudigi home serious kweli kweli mpk wife anawahi kulala ila yakikaa vzr ni full kumkumbatia mda wote.

Mnafiki atajifanya anacheka mda wote akiwa na mpenzi,Genuine people hatufanyagi huo upuuzi.
 
Umri wako please
 
Kama ni mwanaume ni kawaida tu, atakua na stress zake za maisha na hataki ku share na mtu. Kwahio muache tu akiwa sawa fresh atakuchek. Wee jitahid kuwa mchunguz ili ujue anasumbuliwa na nini na ujue namna ya kumsaidia bila kumbugudhi. Ila hiyo hali hupelekea mahusiano kuvunjika maana mtu ukimwambia nipo offmood atataka ajue sabab na wakat hutak kusema lolote...
Mwanamke akiwa offmood atasema ila sio mwanaume... All in all whatever the case kwani mapenz shi ngapi hadi uogope yakivunjika
 
amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi.
Kama yupo off mood, mwambie ameze vidonge viwili vya dawa aina ya Magnesimum kisha anywe chai yenye sukari nyingi kikombe kimoja.
Magnesium ni dawa nzuri ya kupunguza stress japo imetengenezwa kama dawa ya tumbo.
Unajua Magnesium ni metalic. So inasaidia kwenye proper flow of electricity katika nervous system hivyo kupunguza stress.
 
Wewe tusingewezana

Kwa mfano mimi nikitoka kazini nahitaji km 30dk za kutokuongea ongea na mtu yeyote hata na mke wangu.

Kuna mda nahitaji kukaa mwenyewe tu bila kuongeleshwa.

Sina sababu ila nipo off mood na sijisikii kuongea ongea

Mwanzo wife alidhani namuigizia ila nilivyomuoa akagundua moja ya tabia ambayo siachi ni yakuwa serious na off mood hasa nikiwa nimechoka na nina njaa Saivi keshazoea nikiwa na njaa aniulizi kitu mpaka apike amalize alete chakula mezani nikila kdg ndo anaanza maswali.

Nikiwa nimechoka yeye ni kuniacha kwa mda kwanza.

Kila mtu ana haiba yake ni vyema ukajifunza kumuelewa mtu na sio ku mjudge.Na sio lazima kisa mtu ni mpenzi wako basi mda wote awe na mood nzuri akiwa na wewe sometimes mtu anapitia mambo flani flani kwenye maisha ambayo hayupo tyr kusema kila kitu hivyo anakuwa off mood.Achana na mapenzi ya tamthilia.

Mi deal zangu zikikaa kushoto narudigi home serious kweli kweli mpk wife anawahi kulala ila yakikaa vzr ni full kumkumbatia mda wote.

Mnafiki atajifanya anacheka mda wote akiwa na mpenzi,Genuine people hatufanyagi huo upuuzi.
Okay nimekurlewa nadhani atakuwa na tabia kama yako ngoja nikitahidi kumuelewwa
 
Change your routine. Usipige simu kila siku. Mpigie bila ratiba maalum na usingoee muda mrefu.
Halaf punguza kimbele mbele
Okay , nimekurlewa then ntajushukuru baadae?😃 Naomba nikuulize swali kama hutojali?kwa ww kama mwanaume ukifanyiwa hivyo unahis nn?
 
Okay , nimekurlewa then ntajushukuru baadae?[emoji2] Naomba nikuulize swali kama hutojali?kwa ww kama mwanaume ukifanyiwa hivyo unahis nn?
Hiyo ni dalili ya kuchokwa. sasa ww punguza attention yako kwake.. taratibu mpaka ajishtukie why humchangamkii.
Mwanamke wa hivyo huwa ana recognize umuhimu wako ukiwa hujisumbui nae.

Mean while endelea na shughuli zako zingine. Dont pay attention to her
 
Back
Top Bottom