Okay 👍Ushauri wa Bure
Usitumie nguvu au juhudi yoyote kujua sababu,mpe nafasi wewe Fanya Yako na dalili za mwanzo za kukuchoka kishazionesha ukitaka dalili nyingine we endelea kujifanya unataka kujua mood yake au kutaka sababu ya hiyo "Mood"hakika matokea yake hutoyafurahia.
Thanks 👍Mi kwa ninayempenda ntajitahid sana hata kama sipo ktk mood nisimuonyeshe ila ikiwa ni jambo gumu limenikumba ntamwambia leo ni hivi na hivii nimevurugwa, hata michepuko yangu huwa naiambia ile tu yenye mawazo chanya,
Uyo we usitake kujuwa kafanyaje we tulia nawe mwambie upo off mood,
NotedMara nyingi mtu akikuchoka ktk mapenzi anaanza kuwa na sababu.
Hapo unaibiwa..
Hapa sijakuewaNakumbuka ilikua hatua ya mwanzo kabisa kabla demu wangu niliempenda sijamuita x
Nishamjua vizuri tu, pole sana tayari ameshakuchokaHii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi.
Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa naomba anijuze tafadhali kabla sijachukua maamuzi magumu.
Kwa sababu sioni Kama Kuna umuhimu wa kumwambia mpenzi wako upo off mood bila kumwambia sababu iliyokufanya hivyo.
Au nikawaida ya wanaume wote?
Yaan ata aimsumbui labda anatafuta attention nimuuulize why😃Utakua Una msumbua sana
Narudia Tena, ameshakuacha hakupendi TenaYaan ata aimsumbui labda anatafuta attention nimuuulize why😃
Na wewe umeshamfahamu kumbe??Me nilijua mtaachana tu ....... Na sio we tu bado kuna wengine kama we watakuja kuuliza maswali kama yake
OkayNarudia Tena, ameshakuacha hakupendi Tena
Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi.
Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa naomba anijuze tafadhali kabla sijachukua maamuzi magumu.
Kwa sababu sioni Kama Kuna umuhimu wa kumwambia mpenzi wako upo off mood bila kumwambia sababu iliyokufanya hivyo.
Au nikawaida ya wanau