Penguinelli Cactussini Senior Member Joined May 23, 2022 Posts 106 Reaction score 383 Mar 13, 2026 #1 Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya? Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia!
Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya? Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia!
haszu JF-Expert Member Joined Oct 10, 2017 Posts 1,572 Reaction score 3,863 Mar 13, 2026 #2 Kama ipo katia kwanza bima ya kichwa, uwe unapata matibabu ya akili bure
Castle_Lite JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 4,646 Reaction score 10,442 Mar 13, 2026 #3 haszu said: kama ipo katia kwanza bima ya kichwa, uwe unapata matibabu ya akili bure Click to expand... Akipata hiyo kampun akuelekeze na ww ukatie Bima huo Uhandsome.
haszu said: kama ipo katia kwanza bima ya kichwa, uwe unapata matibabu ya akili bure Click to expand... Akipata hiyo kampun akuelekeze na ww ukatie Bima huo Uhandsome.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 22,721 Reaction score 54,664 Mar 13, 2026 #4 Utarudi kwa Costa huko ulikotoka.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 15, 2026 #5 Pole sana... Cc: Mahondaw
N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,467 Reaction score 3,496 Mar 15, 2026 #6 Penguinelli Cactussini said: Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya? Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia! Click to expand... Mkuu angalia tu icho kiungo kisiwe huko nyuma maana nawasiwasi Diara anakaribia kutoka golini..!
Penguinelli Cactussini said: Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya? Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia! Click to expand... Mkuu angalia tu icho kiungo kisiwe huko nyuma maana nawasiwasi Diara anakaribia kutoka golini..!