Hivi kuna kazi rahisi kama kuwa Mchambuzi wa Soka nchi hii?

kevin strootman

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,114
Reaction score
1,872
Sidhani kama Kuna kazi rahisi na nyepesi kufanya kama hii kua mchambuzi WA michezo hapa Tanzania, Yani unapata hela kwenye maredio kiurahisi sana! Ishu kubwa uweze kua mnafiki tu, unaenda na upepo, ujue kusifia na kupondea tuu, na meneno mawili matatu ya kingereza kwenye football!

Yani sometime mchezaji kama onana unampoonda! Kua hajui kitu simba wamepigwa! Siku akifanya vizuri mechi 1 unaanza kumfananisha na Ronaldo na kusema ni mchezaji ambae hajawahi kutokea hapa Tanzania wakati mwanzo ulimuita mchezaji WA mafungu.

Ndioooo, kipa kama Lakred akija kwenye anga zako unampoonda sana, unasema wamepigwa pale na meneno mengi sana kua ana mengi sana ya kujifunza Kwa Aishi, siku akianza kuonyesha performance yake unasema kua hakujawahi kutokea kipa mwenye uwezi kama Lakred nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani hakuna kazi inayonichekesha nchi hii kama uchambuzi WA SOKA ni kazi rahisi sana inahitaji kupandisha tuu kiwango chako cha unafiki

Kuna yule alikua anajidai anajua sana masuala ya Uendeshaji WA timu na Football economy, Yani maelezo yake akiyatoa unaona kabisa akipewa timu awe kiongozi inachukua club bingwa, haya Sasa kapewa Uongozi WA timu Fulani Sasa hivi vipigo tuu Iko mkiani
 
Paragraph ya mwisho huyo namjua, ni Biko Skanda 🤣🤣🤣
 
Tukiacha wale maadui watatu aliowahi kuwasema J K Nyerere,

Watanzania tunasumbuliwa na

Chuki,
Wivu,
Ujuaji.
 
Sidhani kama Kuna kazi rahisi na nyepesi kufanya kama hii kua mchambuzi WA michezo hapa Tanzania, Yani unapata hela kwenye maredio kiurahisi sana! Ishu kubwa uweze kua mnafiki tu, unaenda na upepo, ujue kusifia na kupondea tuu, na meneno mawili matatu ya kingereza kwenye football!

Yani sometime mchezaji kama onana unampoonda! Kua hajui kitu simba wamepigwa! Siku akifanya vizuri mechi 1 unaanza kumfananisha na Ronaldo na kusema ni mchezaji ambae hajawahi kutokea hapa Tanzania wakati mwanzo ulimuita mchezaji WA mafungu.

Ndioooo, kipa kama Lakred akija kwenye anga zako unampoonda sana, unasema wamepigwa pale na meneno mengi sana kua ana mengi sana ya kujifunza Kwa Aishi, siku akianza kuonyesha performance yake unasema kua hakujawahi kutokea kipa mwenye uwezi kama Lakred nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani hakuna kazi inayonichekesha nchi hii kama uchambuzi WA SOKA ni kazi rahisi sana inahitaji kupandisha tuu kiwango chako cha unafiki

Kuna yule alikua anajidai anajua sana masuala ya Uendeshaji WA timu na Football economy, Yani maelezo yake akiyatoa unaona kabisa akipewa timu awe kiongozi inachukua club bingwa, haya Sasa kapewa Uongozi WA timu Fulani Sasa hivi vipigo tuu Iko mkiani
Natamani kumjua uyo uliemuongelea paragraph ya mwisho [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom