Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na baba levo nani mweye akili?familia tu inakushinda kuiendesha unaakili wewe?tafuta pesa achana watu wa kigoma.Mungu anisamehe ila hawa watu wa kigoma mi naonaga kama akili zao haziko sawa sawa. Sijui ndio yale mabomu ya Burundi au nini.. kuna mwingine yupo kule clouds dah mambo ya leo anaongea kesho ya kesho anaongea keshokutwa!
Kigoma Shida Sana, Huyo Wa CloudsNi Yupi?Mungu anisamehe ila hawa watu wa kigoma mi naonaga kama akili zao haziko sawa sawa. Sijui ndio yale mabomu ya Burundi au nini.. kuna mwingine yupo kule clouds dah mambo ya leo anaongea kesho ya kesho anaongea keshokutwa!
Yemwa Wabhonye Wewe!!😁😆😂🤣😃😃Wewe na baba levo nani mweye akili?familia tu inakushinda kuiendesha unaakili wewe?tafuta pesa achana watu wa kigoma.
Mama Gau alikuwa mchpk wangu nilipokuwa Tanga kipindi hicho. Ya kale...Nataka nimnunulie gari Mama Gaude wangu na yeye awe anakwenda sokoni kununua viazi mbatata na nyanya kwa motokaa. Na vile tunavyoishi uswahilini, Mama Gau atakuwa matawi ya juu kuliko mawingu, huu ndio mwaka wake, Uswazi watakoma 😂
Yaani we acha tu
Kigoma Shida Sana, Huyo Wa CloudsNi Yupi?
Mama Gau alikuwa mchpk wangu nilipokuwa Tanga kipindi hicho. Ya kale...
[/QUOTE
MMama Gau alikuwa mchpk wangu nilipokuwa Tanga kipindi hicho. Ya kale...
Mama Gaude huyuhuyu wa kwangu? No, bro, huyu hajawahi kufika Tanzania. Hiki kitu kwenye box mazee usimletee brother mazereu 🤣
Mwijaku.
Kumbe Naye Kaja Na Gari Ya Taa Moja (Treni)Mwijaku.
Wewe na baba levo nani mweye akili?familia tu inakushinda kuiendesha unaakili wewe?tafuta pesa achana watu wa kigoma.
Mungu anisamehe ila hawa watu wa kigoma mi naonaga kama akili zao haziko sawa sawa. Sijui ndio yale mabomu ya Burundi au nini.. kuna mwingine yupo kule clouds dah mambo ya leo anaongea kesho ya kesho anaongea keshokutwa!
Mnashauriwa kila siku msile dagaa wakavu na mihogo hamsikii.. ona sasa mnazaa kina mwijaku kazi kusifia wanaume wenzao tu mjini hapa!
Yule katumia uchizi wake vizuri.Jamaa anapenda sana sifa na hizo sifa ndio zinamfanya wengine wamuone kituko mana amepitiliza mpaka anajiabisha
Uswahilini hakuna maisha ya mtu binafsiNadhani sisi tusitake sana kujua yeye anaendesha vipi maisha yake. Maana leo hii akifulia tutakua wa kwanza kuanza kumcheka. Kama hicho anachofanya kinamsaidia kwa njia moja ama nyingine mi naona ni sawa tu aendelee maana sisi wote tunatafuta maisha.