Hivi kuna kipi zaidi Kati ya Babalevo na Diamond?

Mungu anisamehe ila hawa watu wa kigoma mi naonaga kama akili zao haziko sawa sawa. Sijui ndio yale mabomu ya Burundi au nini.. kuna mwingine yupo kule clouds dah mambo ya leo anaongea kesho ya kesho anaongea keshokutwa!
Tafadhali mkuu usitukosee heshima kiasi hicho watu wa Kigoma kwa sababu ya mtu mmoja tuu
 
Mungu anisamehe ila hawa watu wa kigoma mi naonaga kama akili zao haziko sawa sawa. Sijui ndio yale mabomu ya Burundi au nini.. kuna mwingine yupo kule clouds dah mambo ya leo anaongea kesho ya kesho anaongea keshokutwa!
Kwa kifupi wana ushamba fulani sema wabishi sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom