Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiongelea Signal Iduna ni moja kati maskani poa yenye mashabiki wenye vibe duniani. Wanashika top 3 duniani kwa mashabiki wenye vibe muda wote wa mechiHawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani.
Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale Signal iduna kuangalia mechi Moja.
Ujerumani ni hatari, vi full house na vibe mwanzo mwisho. Tanzania tutafika huko miaka 100 ijayoHawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani.
Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale Signal iduna kuangalia mechi Moja.
Iyo miaka 100 ijayo watakua maroboti wale walioenda bungeni wanacheza.Ujerumani ni hatari, vi full house na vibe mwanzo mwisho. Tanzania tutafika huko miaka 100 ijayo
Lile vibe la iduna park nalielewa sanaHawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani.
Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale Signal iduna kuangalia mechi Moja.
Na Wana utekeleza vema tena sio soka pekee Kila mchezo huwa unajaa hatariUlaya michezo ni sehemu ya utamaduni wao.
Definitely Ile atmosphere ya uwanjani yani unaona dk 90 ni kama wanazulumiwa pale inatakiwa game iwe angalau 120Mkuu ukiongelea Signal Iduna ni moja kati maskani poa yenye mashabiki wenye vibe duniani. Wanashika top 3 duniani kwa mashabiki wenye vibe muda wote wa mechi
Lakini miundombinu nayo inachangia viwanja vinavutiaCapitalism imefanya kazi..
Professional football...
Professional football ni matokeo ya capitalism/ubepari.
Watu baada ya kazii nzito, wanapata buradani/shangwee kutoka kwa professional player's.
Taifa ukishangilia kwa kusimamia utapigwa chupa za maji hadi ukaeYa bundesliga mashabiki wanavibee la kutoshaa..
Mimi Huwa na vutiwa na ile staili ya ushangiliaji wa mashabiki wanarukaruka kwa shangwee huku wameupa mgongo uwanja..
Uko sahihi lakini pia fun engagement ni kubwa sana utaona wachezaji baada ya mechi wanashikana mikono na kuwasogelea mashabiki na kukaa angalau kwa dk 8 wanawaacha wapige picha na kufurahia Kisha wanaondokaBongo shangwe ni mpaka goli lipatikane, la sivyo ni kimyaaa au mavuvuzela yasiyo na mpangilio wowote.
Wenzetu utadhani wanafundishwa namna ya kushangilia, inavutia kwakweli, jinsi wanavyoimba nyimbo zao, style zao za ushangiliaji almost mashabiki wote wa timu moja wanashangilia hivyo, wanapiga makofi hata yanayosikika vyedi mchezaji akifanya vizuri, wengine husikama kabisa mchezaji akiwa anatoka kuonesha heshima kwake hata kama wamefungwa.