Hivi Kuna league ya mpira duniani inayopita vibe la bundesliga kwa upande wa mashabiki

Huko watu wanajua utofauti wa kutafuta hela na maendeleo.

Na utamaduni umejengwa wa kupenda na kuheshimu mambo kuanzia madogo mpaka makubwa.

Sasa huku kwetu michezo unaambiwa mambo ya Kijinga kijinga.
Wazungu nidham ya mambo wametupita mbali sana na heshima sema si huwa tunaona ni wastaraabu ila ukweli jamaa wanaheshimu sana vipaji na kuvipa kipaumbele
Na hapo kwenye utafutaji wa hela na kuzitumia wako vizuri
 
Umaskini.
Kuna vipaji vingi sana na watu huku wanajua.Ila tunakwamishwa na life.
Huo muda wa kushangilia Mpira unatoka wapi??Una mkopo wa Kausha damu...😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom