Kawaida serikali hasa za kidemokrasia zinapenda sana kukopa. Wanakopa na kutumia watakavyo wakijua watakaolipa madeni ni wengine kabisa. Huu ni mfumo mbaya sana kama hakuna udhibiti. Sasa kwa nchi yetu, je, kuna limit ya kiasi cha pesa ambacho serikali inaruhusiwa kukopa? Au kuna limit kwa awamu ya urais juu ya kiasi inachoweza kukopa?
Na vipi sisi wakopaji, kuna sheria ya nchi inayolimit kiasi ambacho serikali inaweza kukopa kwa muda fulani?Kama una mali nyingi ya asilia kama mafuta, madini, bandari, gesi n.k hakuna limit. Ila madhara yake ni makubwa huko mbeleni, kama Zambia, Mombasa, na kwingineko walivyokaribia kuziuza nchi zao kwa kushindwa kulipa madeni...
Kitu kama hiki. Nchi yetu inakitu kama hiki?Kwa nchi kama USA kuna ukomo WA serikali kukopa(debt ceiling), juzi Kati biden alitaka kukopa kupita kiwango cha ukomo ila congress kukawa kuna upinzani. Ni mpaka congress waidhinishe.
Hakipo bila Shaka.Kitu kama hiki. Nchi yetu inakitu kama hiki?