Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chumvi pia ikiwekwa kupitia njia ya oil ,huwa inakula bearing za mikono ya piston na clen shaft, ni hatari sana si kitu cha kuzungumzia
kwa kuongezea hata mafuta ya break yakiwekwa kwenye tank ya mafuta(kwa diesel) gari huwa inakula mafuta kuliko kawaida ni balaa
Na wakishabuni hivyo wanaziletaa kwetu huku wanapiga helaHata kwenye ya mbao, nakumbuka huko kuna kabla ya kufika Muleba kuna Jamaa kafunga engine ya Land Rover kwenye mtumbwi wa mbao.
Pia kuna mwingine nadhani ni Geita yeye ni fundi amefunga engine ya Corolla ila gearbox kaweka ya marine kwenye mtumbwi wa mbao.
Kama wa Thailand mwaka 2016 walifunga engine ya 1jz kwenye boti la mbao na ikafanya vyema. Kule wenzetu wanajaribu sana washafunga engine za Scania,Yanmar na Isuzu kisha wanashiriki kwenye Boat show.
Watu wa majahazi wanafunga engine za Caterpiller D8 kwenye majahazi ya mbao. Ishu kubwa ni sehemu ya engine mount kuwa imara na mbao za kingo kuwa imara kuzuia mitetemo ambayo itafanya chombo kipate udhaifu.
Mara nyingi sisi patrol boat hutumia mbao za ukubwa wa 0.8 inch ama 1 inch. Hivyo engine kubwa itafanya hilo boat kushindwa kuhimili. Ila inawezekana kuwekwa kwenye boat kubwa lenye mbao zenye ukubwa(unene) zaidi ya nchi moja. Na lisiwe la kivuvi wala doria
Nikuulize swaliKwani hiyo chumvi muda wote huo haiyeyuki?
550×2Ila hp 200 kwenye maji lina uwezo mkubwa sana kwani la panton linaweza kuwa na ngapi
Hivi hii hutokana na hewa au nini kinafanya ulaji unaongezeka
Maelezo mazuriNikuulize swali
Je wajua namna chumvi inavyopikwa ili itokee kuwa chumvi?
Kama hujui nikwambie kidogo wa kienyeji chumvi hupikwa ikiwa kwenye hali ya maji ambayo awali huchunywa kutoka kwenye mchanga wenye madini hayo
Sasa basi kwakuwa mwenye mafuta huwabadilika na kuwa kimiminika ikifika ndani inapikwa tena mwenye joto kubwa la engine haswa mwenye chumba cha kuunguza hewa na mafuta ambayo sasa ni hewa mafuta na chumvi matokeo yake chumvi kurudia haki yake ya kuwa solid
hata iungue vipi haiangamii ng'ooo
kumbuka theory "matter can neither be created nor destroyed"
kwahiyo haifi huendelea kula kuta za cylinder
Vivuko vingi vina engine za 250hp kushuka chini. Hivi vivuko huwa na engine 2 kwaiyo ni 250hp×2.550×2
Ah niliikuwa sijui ila kuna mtu aliniambia kuwa mv victoria engine zake ni 550 hp×2 hivyo nikafikiri ndo mfumo. Lakini mbona 250 ni ndogo sana nikilinganisha na ukubwa wa kivukoVivuko vingi vina engine za 250hp kushuka chini. Hivi vivuko huwa na engine 2 kwaiyo ni 250hp×2.
Hiyo 550hp kwa kivuko utumiaji wa mafuta utakuwa ni mkubwa na gharama za uendeshaji kuwa kuwa hivyo kivuko mwisho wa siku kitafanya kazi kwa hasara.