wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Katika vitu ninavyovishangaa katika vyombo vya usafiri ni pamoja na hili puto (ballon)kupaa kwa kutumia moto.
Hivi huu moto unapowashwa ni ule moshi wake unajaza hewa mle ndani au kuna kitu kingine zaidi kinatumika hapo tunapigwa chenga la macho na hawa waliokibuni kwa kuwasha moto.
Je, hivi moto ukazima ghafla huko hewani litashuka kama mjiwe au?au kukawa na kishimo labda panya kala bila wao kujua linajaa au?