Ukubwa gani unaousubiri Depal? muda wakufanya adventures ndio huu sasa haha.Nikiwa mkubwa nitaenda Serengeti nikalipande
Periodic table??Uminikumbusha mbalii
"Halo helena, lile, beberu, bora, chinja, na, ondoa, figo, nene, na magdalena, alisema, sina, pesa, sasa, mpaka, clara, arudi, kwao, canada"
hata form two inafundishwa hiiKwa hisani ya Gugu(Google).
Pitia hapa kama lugha inapanda!Katika vitu ninavyovishangaa katika vyombo vya usafiri ni pamoja na hili puto (ballon)kupaa kwa kutumia moto.
Hivi huu moto unapowashwa ni ule moshi wake unajaza hewa mle ndani au kuna kitu kingine zaidi kinatumika hapo tunapigwa chenga la macho na hawa waliokibuni kwa kuwasha moto.
Je, hivi moto ukazima ghafla huko hewani litashuka kama mjiwe au?au kukawa na kishimo labda panya kala bila wao kujua linajaa au?
View attachment 2328050
Jamaa anasema umuelezee kiswahili hayo haelewiHot air balloons work because hot air rises. By heating the air inside the balloon with the burner, it becomes lighter than the cooler air on the outside. This causes the balloon to float upwards, as if it were in water. Obviously, if the air is allowed to cools, the balloon begins to slowly come down.
Hot air balloons rise into the air because the density of the air (warmer air) inside the balloon is less dense than the air outside the balloon (cooler air). The balloon and the basket displaces a fluid that is heavier than the balloon and the basket, so it has a buoyant force acting on the system.
When we inflate a balloon, we fill it with a pressurized gas (air). When we let go of the end, the air rushes out and pushes against the air around the balloon to move it in the opposite direction. Newton describes this effect in his Third Law of Motion: for every action, there is always an equal and opposite reaction
Balloons float because they are filled with helium! Balloons can be filled with different types of gas.
Science tell us that hot air rises, and as the air is heated inside the balloon it causes it to rise upwards (because it is lighter than the cooler air on the outside). When the pilot needs to bring the balloon down again, he simply reduces the temperature of the air inside the balloon causing it to slowly descend
Jiko limefungwa kwenye uwazi wa chini ya puto juu ya tenga la abiria, jiko hili uwakaji wake unafanana na ule wa jiko la wanaochomea rejeta za magari.Umelewa, kwa iyo puto linapaa na jiko lile??
Sawa mradi turubai lako liwe halivujishi hewa.Duu kwa hiyo niki chukua turubai nikalifunga kamba alafu nikatengeneza box langu nikafungua hapo hizo kamba alafu nikawasha moto hapo napaa au[emoji2305]
Asome #36 nimeeleza vizuri na mfano upo.
Kuna shida sehemu, yaani hata vitu vya kawaida kabisa eti vinaonekana miujizahelium gas...kabla sijaendelea umewahi japo kusikia somo linaitwa Physics?
Ukipasha hewa moto,inatanuka,ila uzito wake upo pale pale,sasa uwiano wake wa uzito na ujazo unakuwa mdogo maana ujazo/volume imeongezeka kutokana na kupashwa moto,wakati hewa ya nje,uwiano wake wa uzito na ujazo,unaendelea kuwa Sawa,(density),hapo Hilo puto litaanza kusukumwa juu,Kani/force ya kulisukuma juu itaongezeka kadri density yake(uwiano wa uzito na ujazo unavyopungua.litapaa mpaka pale uzito wake na Kani,nguvu ya hewa ya nje unalolisukuma utakapo kuwa Sawa,floatation law,ni kanuni hiyo hiyo,inayotumika,shilingi inazama baharini lakini,meli inaelea kwenye majiKatika vitu ninavyovishangaa katika vyombo vya usafiri ni pamoja na hili puto (ballon)kupaa kwa kutumia moto.
Hivi huu moto unapowashwa ni ule moshi wake unajaza hewa mle ndani au kuna kitu kingine zaidi kinatumika hapo tunapigwa chenga la macho na hawa waliokibuni kwa kuwasha moto.
Je, hivi moto ukazima ghafla huko hewani litashuka kama mjiwe au?au kukawa na kishimo labda panya kala bila wao kujua linajaa au?
View attachment 2328050
Pitia hapa kama lugha inapanda!View attachment 2328811
Hapa nimegundua kuwa kunbe masimo ya sayansi yanaweza kufundishwa kwa lugha ya kiswahili kwani maneno mbadala wa maneno ya kiingereza kwa vitu vingi katika kiswahili yapo mengi, mfano;
Force = kani, Volume = ujazo, Mass= ujazo nene, Density = uzito nene, Temperature= jotoridi, Pressure=kani eneo nk.