Hivi kuna mahusiano gani ya moto na hili balloon?

Watu wanajibu kizungu huku mtoa mada kauliza kiswahili
Iko hivi

Mada yoyote ikipata joto hutanuka(inakua kiumbo) kitendo cha kitu kukua pasipokuongezeka ghafi hiyo husababisha kupungua kwa densty.densty ni nini. Ni uwiano kati ya ukubwa na uzito. Kawaida ya mada yenye ukubwa mkubwa na uzito mdogo hukaa ju ya ile yenye ukubwa mdogo na uzito mkubwa. Ukumbuke hii ipo pote kwenye kimiminika, yabisi na gesi

Simu yangu imepasuka kio inasumbua kuandika nimeshaagiza kingine mjini kikija tu nitakuja kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa stend umenifanya nicheke. Naimani ushapata muongozo kwa baadhi ya wadau kukuelekeza wengine kukwambia utafute dogo wa form two akushukie ndipi
 
Mnapanda,muelekeo mnajichagulia au kinachagua chenyewe?
 
👍👍👍
 
Sawa broo pole sana au umalizie na kiswaswadu
 
Wa stend umenifanya nicheke. Naimani ushapata muongozo kwa baadhi ya wadau kukuelekeza wengine kukwambia utafute dogo wa form two akushukie ndipi

Tatizo shule broo sisi wa magomeni bhana hatujapitia huko[emoji849]
 
Nikiwa mkubwa nitaenda Serengeti nikalipande 🥳
 
Tatizo shule broo sisi wa magomeni bhana hatujapitia huko[emoji849]
Hakija haribika kitu bado, unaweza kujifunza hata kupitia humu kwa michango ya watu mbalimbali. Cha msingi ni kwamba ukiwa na swali au kitu kinakutatiza we funguka tu. Wapo wenye weredi wa mambo mbalimbali tutaelekezana tu.
 
helium gas...kabla sijaendelea umewahi japo kusikia somo linaitwa Physics?
Acha uongo wewe, kinachofanyika ni kuwa lile puto liko wazi chini sasa hapo kwenye mdomo(uwazi) linafungwa jiko la gesi lenye msukumo mkubwa wa moto, ule moto unapasha joto hewa iliyomo ndani ya puto na puto litajaa hewa yenye joto kali na puto litainuka, kinachofanya kuinuka ni kuwa hewa yenye joto inakuwa nyepesi kuliko hewa baridi; hii ni sawa na maji moto huwa mepesi kuliko maji baridi ambayo huwa mazito. Kwa mfano chemsha maji kisha yaweke kwenye ndoo yenye maji baridi yenye rangi kisha chukua maji yaliyochemka yatie ndani ya ndoo, kitakachotokea maji baridi yatabaki chini na maji moto yatakaa juu. Kutokana na mfano huo hewa nyenye joto iliyoshikiliwa ndani ya puto kwa kuwa ni nyepesi kuliku iliyoko nje ya puto italiinua puto na kulipeleka angani, na ili likae angani kwa kina fulani inabidi hilo jiko la gesi liongezwe au lipunguzwe moto na endapo litazima au kupunguzwa moto puto litashuka chini.
Karibu kwa swali la ziada.
 
Hakija haribika kitu bado, unaweza kujifunza hata kupitia humu kwa michango ya watu mbalimbali. Cha msingi ni kwamba ukiwa na swali au kitu kinakutatiza we funguka tu. Wapo wenye weredi wa mambo mbalimbali tutaelekezana tu.

Asnte sana
 
Nikiwa mkubwa nitaenda Serengeti nikalipande [emoji3060]

Royo tuwa mama alikataa katu katu kulipanda akapita chini ma gari yule tuagadi wake yeye akalipanda[emoji31][emoji31]
 
Duu kwa hiyo niki chukua turubai nikalifunga kamba alafu nikatengeneza box langu nikafungua hapo hizo kamba alafu nikawasha moto hapo napaa au[emoji2305]
 
Umelewa, kwa iyo puto linapaa na jiko lile??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…