Hivi kuna mahusiano gani ya moto na hili balloon?

Na kupaa au kuteremka sasa hilo jiko anaongeza moto kupaa na kupunguza moto kushuka au?
Ndivyo hivyo, ukiongeza moto hewa yenye joto itaongezeka na ukipunguza moto litakaa kina hichohicho au litashuka kwa kutegemea kiwango.
 
Nijuavyo hewa ya joto hutanuka na uzito hupungua vivyo hivyo maji moto huwa mepesi kuliko maji baridi, ukiweka maji moto ndani ya ndoo yenye maji baridi, maji moto yatakaa juu na maji baridi yatabaki chini.
 
Mda si mrefu watakuja kufafanua kwa kiingereza wakat swal lmeulizw kwa kiswahili[emoji1]
 
Afadhal kidogo nmekuelewa,sio hao wanaojibu kwa kiingereza wakat swal lmeulizw kwa kiswahili,sijui hii inaashiria nn
 
Asant sn mkuu
 
Sawa umeeleweka,sasa kinacho control ili liende upande flani ni nini au likisha paa linajiendea tu upande wowote na mkiamua kushuka ndio moto unazimwa...?...
 
Yan kilichopo hapo ni hivii, ngoja tu nikueleweshe kwa kiswahili maana watu wameshindwa kukuelekezaz, ukiangalia vizuri utaona ni kama puto hilo, alafu ukiangalia vizuri ni Moto huo sasa kinacho tokea ni hivii, au ngoja si unaona hilo tenga? Yani sijui niuelewesheje kwa kiswahili ila ni hivii hata mimi sjiui
 
Sawa umeeleweka,sasa kinacho control ili liende upande flani ni nini au likisha paa linajiendea tu upande wowote na mkiamua kushuka ndio moto unazimwa...?...
Haya maputo hayana usukani ila rubani anatumia utaalam wake kwa kucheza na moto ili apate muelekeo wa upepo, hivyo si rahisi kushukia mahali ulipopandia, kutokana na hali hiyo hulazimika iwepo gari ya kuwafiatilia ili iwachukue mtakaposhukia pamoja na vifaa vyenu.
Yangekuwa yanakwenda kasi yangekuwa na usukani kama wa ndege ambao ni bawa la nyuma lililosimama wima, hilo hutumika kwenda kushoto au kulia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…