Grace glory
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 374
- 531
Mkuu,Hakuna maisha baada ya Kifo wala kabla ya Kuzaliwa.Wewe utaendelea Kuwepo na Bibi na babu yako bado wapo ila hawapo HAI na hawana Maisha kama ambavyo unavyoyaishi hapa DUNIANI ila wapo Ila HAWAISHIHabari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
ndugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.Mkuu,Hakuna maisha baada ya Kifo wala kabla ya Kuzaliwa.Wewe utaendelea Kuwepo na Bibi na babu yako bado wapo ila hawapo HAI na hawana Maisha kama ambavyo unavyoyaishi hapa DUNIANI ila wapo Ila HAWAISHI
Kwanini una roho alafu haujawahi kupata uzoefu njee ya mwili wako ? Na kama ulishawahi ebu tueleze kidogondugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.
umilele wa binadamu baada ya maisha hapa duniani hutegemea sana alivyoishi hapa duniani na kuna sehemu mbili tu ambazo mwanadamu anakwenda baada ya maisha hapa duniani. ni either uzima wa milele au moto wa milele.
"........(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)".Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
100% scientific proof.Wewe hapo ni sehemu ya babu zako na bibi zako wanaishi kupitia wewe hili ndo lenye uhakika kisayansi kwa sasa. DNA yako ikipimwa babu na bibi zako wataonekana.
kinadharia tunajifunza hivyo kupitia vitabu vitakatifu vya dini 🐒Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Kuna point hapo. Hebu bainisha zaidi: Hakuna maisha au Hakuna Uhai baada ya kifo?Kwanini usiishi Sasa ndugu!? Kwan usubiri mpaka ufe!?.…Maisha ndio Haya, HAKUNA MAISHA BAADA YA KIFO!