Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Yha, kwa wakristo maisha baada ya kifo ni hakikaLUKA 16:19 - 31 kwenye Biblia, Yesu alionyesha kwamba yapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yha, kwa wakristo maisha baada ya kifo ni hakikaLUKA 16:19 - 31 kwenye Biblia, Yesu alionyesha kwamba yapo.
kwahio unataka kusema maisha ww umeyapata kibahati tu.Unaweza kuthibitisha ni nini kilifanya tuwe na maisha?
Hakuna aliyefanya tuwe na maisha mpaka pale itakapo thibitika.
Zilizopo ni nadharia na speculations tu zisizo na uthibitisho.
Jiulize kwanza kabla hujawekwa tumboni mwa mama yako ulikuwa Wapi na ulijitambua?maana Mungu huumba roho halafu mwili.Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
HABARI DRACE GLORY, NAKUSHUKURU SANA KWA KUULIZA SWALI HILI KWA KWELI JIBU LA SWALI HILI NDILO LITAKALOKUFANYA UJUE UISHI VIPI HAPA DUNIANI. MAJIBU MENGI YA WALIOKUJIBU HAPO JUU WAMEKOSEA NA HUTAPATA MAJIBU SAHIHI KWA MUELEKEO WA MAJIBU NILIYOYAONA BALI UTAPATA MKANGANYIKO ZAIDI.Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Kuna ulazima gani kwamba kila kitu kimekuja kwenye existence kupitia kitu fulani au nguvu fulani?kwahio unataka kusema maisha ww umeyapata kibahati tu.
maisha yamekuja tu into existence?. all that misteries jinsi wanyama mimea na wadudu wanavyomanuver life iwe imekuja tu.
take time and study habits mbali mbali za wanyama na wadudu all that genius master piece itokee tu from nowhere?.
mfano mimea inatumia carbon dioxide na kupitia process ya photosinthesis kuproduce chakula chake chenyewe ambacho kitumiwe na mwanadamu anayepata pia oxygen kutoka kwa mimea.
all that genious mechanism ime exist tu. kwa bahati mbaya sindio..
Basi tupe tafsri ya kifo kama kuna kuishi baada yakufa,ndugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.
umilele wa binadamu baada ya maisha hapa duniani hutegemea sana alivyoishi hapa duniani na kuna sehemu mbili tu ambazo mwanadamu anakwenda baada ya maisha hapa duniani. ni either uzima wa milele au moto wa milele.
Okay wewe unaunaje kuna uwezekana wa kuishi baada ya kufa? Yaani ukifa utaweza kuishi?Hakuna haja ya kuumiza kichwa kwa vitu kama hivi , ni swala la mda tu kama maisha yapo baada ya kufa kila mtu atapata huo uzoefu kama hakuna ni sawa pia .
Uko sahihi kwa jinsi ulivyoelewa maada na jinsi ulivyochangia, sasa tuambie wewe kuna kitu kinaweza kuishi baada ya kufa? Au ni sisi ndo hatujui maana ya kifo/,kufa?"........(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)".
Sasa wewe unaamini lipi? Kuna maisha au Hakuna maisha baada ya kifo??
Huyo mtu aliyekuambia kuna maisha baada ya kifo mng'ang'anie/mkomalie akuthibitishie hivyo.
Wewe pia waweza kujithibitishia kwa kufanya yafuatayo:-
1.Chukua bakora/fimbo kamchape babu yako au kumfokea juu ya kaburi lake halafu ulete mrejesho hapa ili na wale walio na akili/imani kama yako wajifunze.
2. Pitia maandishi vitabuni, rejea maelezo ya mdomo ya jadi (Traditional History) na mengineyo mengi kuhusu hoja hiyo halafu ujipime kama kweli woote hao walivyoamini au kusema kuna maisha baada ya kifo walikuwa hawana akili ni wajinga ila ww ndo mwenye akili.
3. Kataa kabisa hakuna maisha baada ya kifo ili uachane na mahangaiko ya kutafuta eti kama kuna maisha baada ya kifo au la na uwe huru usihangaike. Kama yapo-Yapo; kama hakuna Hakuna. Ww katafute pesa full stop.
Kwahyo kinachokufa ni mwili tu ndani ya mwili wangu? Unamaanisha watu waliokufa huwa wanachagua sehemu ya kwenda kuishi? Vipi wanaokufa bila kutarajia vitu ajali kuuwawa kwa risasi, wanapataga wapi mda wa kuchagua? Je hao ambao hawapati mda wakuchagua wakiwa duniani wenyewe hatima yao huwa ni ipi?MAISHA BAADA YA KIFO YAPO SANA KINACHOKUFA NI MWILI HUU WA NYAMA UNAOZA UDONGONI ULIKOTOKA ILA NAFSI, ROHO YAKO INAENDA KUISHI UKO ULIKOCHAGUA WAKATI UKIWA HAPA DUNIANI
Imagine [emoji849]Ukiwa hai na ukawa umesinzia/umelala fofofo na kama hauoti ndoto yoyote muda huo, je utaweza kuhisi uwepo wowote wa maisha? Kama hauwezi kuhisi uwepo wa maisha ukiwa tu usingizini, inawezekana vipi mtu hauna pumzi (umekufa) kisha uweze kuhisi uwepo wa maisha?
Wewe ulivyokuwa kichanga ulikuwa unamini kuna maisha mengine tofauti na tumboni?Pengine hata watoto wachanga walio tumboni huenda hawaamini kuwa kuna maisha mengine tofauti na tumboni na watakuwa wanaishi kivingine..
Ndo nataka nijiandae sasa niende na magunia hata mawili ya furu gobe, nichukue hata dumu moja la mafuta ya alizeti,Una haraka ya nini? Karibuni tu utakufa utaju mwenyewe
Sasa utawezaje kufa alafu ukaishi au mimi sijui maana ya kifo?Hakuna empirical evidence, ishi sasa na kesho ie kama unaweza kuishi vizuri now usijibane, pia kwa imani yako kama unahisi kuna maisha yajayo jiandae.
Utajisikiaje uache kujiandaa alafu unafariki unakuta kuna maisha mengine? Ha ha ha
Uhalali wa kutumia biblia katika kuamua kesi kama hii unaletwa na nini?LUKA 16:19 - 31 kwenye Biblia, Yesu alionyesha kwamba yapo.
Hili swali laweza kujibiwa na Yesu mpakwa mafuta peke yake. Maana inasemekana yeye ndo alikufa alafu akafufuka, hivyo mtafute yeye ukimpata na jibu la swali lako utalipata.Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Mkuu umetoa rafsri nzuri sana ya maana ya kifo, labda kama hawakuelewa swali langu ndo wataendelea kuwaleta akina luka na Mohammed kujibu maswali ambayo sikuuliza.Mtu asemaye kuna maisha baada ya kifo, hana tofauti na mtu asiyeelewa maana ya neno kufa.
Kwa dhana ya viumbe hai,
Kufa maana yake ni mwisho wa kiumbe hicho kuishi (mwisho wa maisha)
"Nafikiri mwili wa kiumbe hai ni sawa na kompyuta,
Kompyuta itaacha kufanya kazi pindi ambapo moja ya kifaa chake kitaharibika.
Hakuna mbingu wala maisha baada ya kuharibika kwa kompyuta hiyo.
Habari za mbingu na kuzimu ni hadithi za watu wanaoogopa giza. "
Wakibisha tunawaachaYou had no life before life but you want to have life after life in imaginary places..!!
You cannot wish for a house of gold in heaven while you have never touched gold right here on earth.
If you fail to live on earth the fantasy of heaven is an illusion.
Hakuna maisha baada ya kufa.
Ukifa unakwenda kuwa chakula cha bacteria una decompose na kuwa underground soil...
Wewe umechagua wapiMAISHA BAADA YA KIFO YAPO SANA KINACHOKUFA NI MWILI HUU WA NYAMA UNAOZA UDONGONI ULIKOTOKA ILA NAFSI, ROHO YAKO INAENDA KUISHI UKO ULIKOCHAGUA WAKATI UKIWA HAPA DUNIANI
Sikuwa na life kabla ya life, hilo lipo wazi labda kama unapenda kubishana ndo utatuambia wewe.unafikir hiyo life ambayo hukuwa nayo kabla ya life. uliitaka? au unafikir imekuja coincidence tu!.