Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Unaweza kuthibitisha ni nini kilifanya tuwe na maisha?

Hakuna aliyefanya tuwe na maisha mpaka pale itakapo thibitika.

Zilizopo ni nadharia na speculations tu zisizo na uthibitisho.
kwahio unataka kusema maisha ww umeyapata kibahati tu.

maisha yamekuja tu into existence?. all that misteries jinsi wanyama mimea na wadudu wanavyomanuver life iwe imekuja tu.

take time and study habits mbali mbali za wanyama na wadudu all that genius master piece itokee tu from nowhere?.

mfano mimea inatumia carbon dioxide na kupitia process ya photosinthesis kuproduce chakula chake chenyewe ambacho kitumiwe na mwanadamu anayepata pia oxygen kutoka kwa mimea.

all that genious mechanism ime exist tu. kwa bahati mbaya sindio..
 
Jiulize kwanza kabla hujawekwa tumboni mwa mama yako ulikuwa Wapi na ulijitambua?maana Mungu huumba roho halafu mwili.

Uthibitisho kutoka kitabu Cha Yeremia; Mungu anamwambia Yeremia nalikujuwa hata kabla hujawa tumboni mwa mama yako
 
HABARI DRACE GLORY, NAKUSHUKURU SANA KWA KUULIZA SWALI HILI KWA KWELI JIBU LA SWALI HILI NDILO LITAKALOKUFANYA UJUE UISHI VIPI HAPA DUNIANI. MAJIBU MENGI YA WALIOKUJIBU HAPO JUU WAMEKOSEA NA HUTAPATA MAJIBU SAHIHI KWA MUELEKEO WA MAJIBU NILIYOYAONA BALI UTAPATA MKANGANYIKO ZAIDI.

UKWELI USIO NA SHAKA NI KUWA MAISHA BAADA YA KUFA NI JAMBO LISILOKUWA NA SHAKA YEYOTE. MAISHA HAYO BAADA YA KIFO NI BORA NA YENYE KUDUMU. HILI LINATHIBITISHWA NA KITABU KITAKATIFU CHA QURANI AMBACHO MPAKA SASA WAPINGAJI HAWAJAWEZA KUINGIZA MANENO YAO. QURANI INASEMA:
{ وَٱلۡأٓخِرَةُ خَيۡرٞ وَأَبۡقَىٰٓ }

[Surah Al-Aʿlā: 17]

Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi.


IN SHAA ALLAH JIBU HILI LITAKUWA USHAHIDI SIKU YA MWISHO KUWA NIMEFIKISHA NENO LA ALLAH KWA WAJE WAKE. NAKUHUSIA HALA HALA USISIKIE MANENO YA WATU WAPOTEFU...GRACE USIJE UKAFA KABLA HUJAWA MUISLAMU.
 
Kuna ulazima gani kwamba kila kitu kimekuja kwenye existence kupitia kitu fulani au nguvu fulani?

Je hiyo nguvu au hicho kitu kilicho leta vitu vyote into existence chenyewe kili kujaje kwenye existence?

Au chenyewe kilitokea tu kwa bahati mbaya?
 
Basi tupe tafsri ya kifo kama kuna kuishi baada yakufa,
Yaani unatuthibitishiaje kitu kinaweza kuishi halafu kimekufa?
 
Hakuna haja ya kuumiza kichwa kwa vitu kama hivi , ni swala la mda tu kama maisha yapo baada ya kufa kila mtu atapata huo uzoefu kama hakuna ni sawa pia .
Okay wewe unaunaje kuna uwezekana wa kuishi baada ya kufa? Yaani ukifa utaweza kuishi?
 
Uko sahihi kwa jinsi ulivyoelewa maada na jinsi ulivyochangia, sasa tuambie wewe kuna kitu kinaweza kuishi baada ya kufa? Au ni sisi ndo hatujui maana ya kifo/,kufa?
 
MAISHA BAADA YA KIFO YAPO SANA KINACHOKUFA NI MWILI HUU WA NYAMA UNAOZA UDONGONI ULIKOTOKA ILA NAFSI, ROHO YAKO INAENDA KUISHI UKO ULIKOCHAGUA WAKATI UKIWA HAPA DUNIANI
Kwahyo kinachokufa ni mwili tu ndani ya mwili wangu? Unamaanisha watu waliokufa huwa wanachagua sehemu ya kwenda kuishi? Vipi wanaokufa bila kutarajia vitu ajali kuuwawa kwa risasi, wanapataga wapi mda wa kuchagua? Je hao ambao hawapati mda wakuchagua wakiwa duniani wenyewe hatima yao huwa ni ipi?
 
Imagine [emoji849]
 
Pengine hata watoto wachanga walio tumboni huenda hawaamini kuwa kuna maisha mengine tofauti na tumboni na watakuwa wanaishi kivingine..
Wewe ulivyokuwa kichanga ulikuwa unamini kuna maisha mengine tofauti na tumboni?
 
Hakuna empirical evidence, ishi sasa na kesho ie kama unaweza kuishi vizuri now usijibane, pia kwa imani yako kama unahisi kuna maisha yajayo jiandae.

Utajisikiaje uache kujiandaa alafu unafariki unakuta kuna maisha mengine? Ha ha ha
Sasa utawezaje kufa alafu ukaishi au mimi sijui maana ya kifo?
 
Hili swali laweza kujibiwa na Yesu mpakwa mafuta peke yake. Maana inasemekana yeye ndo alikufa alafu akafufuka, hivyo mtafute yeye ukimpata na jibu la swali lako utalipata.
 
Mkuu umetoa rafsri nzuri sana ya maana ya kifo, labda kama hawakuelewa swali langu ndo wataendelea kuwaleta akina luka na Mohammed kujibu maswali ambayo sikuuliza.
 
Wakibisha tunawaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…