dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Kwa sisi mabachela ndo hatuna namna....mwanamke ndio mashine ya ugali mkuu
kuna ugali coockerMaana kwenye wali kuna rice coocker, ugari je?
Kweli? Hamna machine ingine?mwanamke ndio mashine ya ugali mkuu
Ahaa!
ndio mkuu,nasikia wazungu hawajui ugali hivo hii inathibitisha hakuna machine ya kupika ugaliKweli? Hamna machine ingine?
Hata waliooa mkuu wakati mwingine wife anaweza safiri ujueKwa sisi mabachela ndo hatuna namna....
Kweli mkuu?kuna ugali coocker
Unatusumbua mkuu Mashine ya Ugali ni Mwiko mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT
Mwiko inasababisha nini mkuu?
Thanks mkuu pls fanya hivyoIpo mkuu niliona sponsored Instagram ngoja nikaitafute ile post nikuwekee hapa.
Ile post sijaiona ila ipo mkuu na bei ni sawa na rice cooker tu ilikuwa 80k nakumbuka.Thanks mkuu pls fanya hivyo
Ahaa basi ngoja tuwasubiri wadau wengine tutapata tuIle post sijaiona ila ipo mkuu na bei ni sawa na rice cooker tu ilikuwa 80k nakumbuka.
Wao wana 'stiff porridge' ambayo ni uji mzito na huliwa kwa kisu na umma. Ugali wao hukutana nao huku kama sehemu ya utalii.ndio mkuu,nasikia wazungu hawajui ugali hivo hii inathibitisha hakuna machine ya kupika ugali
Akikujibu nitag mkuu. Hiyo lugha sijui ya nchi gani?Ugari ni nini mkuu?