Hivi kuna mashine ya kusongea ugali?

Hivi kuna mashine ya kusongea ugali?

hio ni aina mpya ya gari mkuu
Ni hii hapa?
_20200410_065306.JPG
 
Habari wakuu,

Hivi hamnaga machine ya kusongea ugali? Maana kwenye wali kuna rice coocker, ugali je?

Kipindi hiki cha karantini ni muhimu tukawa na vifaa muhimu kama hivi.

Shukrani.
😂😂😂acha uvivu wewe shika mwiko songa nguna iyo😂😂😂
 
Back
Top Bottom