Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwamba awamu ile ilikuwa nafuu?Usimuangushe JK Kaka. Awamu Ile sio yakulinganisha na awamu hii.
Kuna haja ya kufanyika utafiti juu ya jamii hii ya Mwambao wa bahariMathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.
Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Moderators futeni huu uzi haraka sana hauna maana ni uzushi tupu.Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.
Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Huyu ndiyo anaendesha nje na wapiga dili wenzakeMathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.
Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Kipindi cha Dikteta ilikuwa siyo rahisi kumuona JK anaongea ongea na kuwakilisha nchi sijui, sahivi karudi na wapiga dili wenzake kwa kasi sn.Harufu hii iliibuka ghafla chuma kilipolala! Wakati baadhi wanashangilia wengine tulijua sinema ndio zinaanza. Tumerudi awamu ya nne na kurithi kila baya.
Systematic and critical evaluation of societies on the shores of Indian ocean, Eastern Tanzania. Implications for the good governance and increased welfare of the ruled people. Makojo et al 2023Kuna haja ya kufanyika utafiti juu ya jamii hii ya Mwambao wa bahari
BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaksMathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.
Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Create a problem then pretend to offer a solution.BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaks
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejilaza kweye sofa na mb zako za bure unaandika uharo kwa chuk zakoCreate a problem then pretend to offer a solution.
Upigaji mwingine in the making.
Una uthibitisho?mkiambiwa mthibitishe mnaanza kusingizia pombe 'et ooh nililewa banana ndio mana nikaandika vileKwasababu amerudi tena madarakani kwa mlango wa nyuma.
Hii nchi haitokaa sawa mpaka yule mzee akipumzika kwa amani. Kinyume na hapo upigaji utaendelea mpaka tuite maji mma.
Hakuna hulka mbaya kwa mwanadamu kama ulafi na kutokinai.
Dunia huru hii chief. Haitokuja tokea kila mtu aamini unachoamini.Umejilaza kweye sofa na mb zako za bure unaandika uharo kwa chuk zako
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
JF ni sehemu mbaya sana kujaribu kutetea kula yako. Amini unachoamini na acha wengine waamini wanayoamini.Una uthibitisho?mkiambiwa mthibitishe mnaanza kusingizia pombe 'et ooh nililewa banana ndio mana nikaandika vile
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app