livingroom_espionage
Member
- Jul 8, 2026
- 37
- 77
Mnatafuta kutukanwaHabari jamani
Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta.
Nawasilisha
Ni mwendo wa minyama tu mpaka waiban na hiiNaona umekuja na ID nyingine unajipakulia minyama
Karibu tena.Ni mwendo wa minyama tu mpaka waiban na hii
ok.🐒Habari jamani
Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta.
Nawasilisha
HakunaHabari jamani
Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta.
Nawasilisha
Unakuta wewe mwenyewe ni Gentamycin unatumia account kibaoHabari jamani
Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta.
Nawasilisha
Namsubiri GENTAMYCINE mwenyewe, atasema nini?Naona umekuja na ID nyingine unajipakulia minyama
Sawa platinum memberKweli JF inaenda kasi sana,
Ndio kwanza namsikia huyo member kwenye huu uzi wako.