Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

Habari jamani

Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta.

Nawasilisha
weka vzr basi title ukisema mjuaji ni kama much know yaani mtu anyejifanya anajua wakati hajuai wakati mwamba ni reliable source kwa habari nyingi za hapa JF
 
Naona umekuja na ID nyingine unajipakulia minyama
Hii Id Aliifungua tarehe hii mwezi July mwaka huu baada ya ile yake kuona watu siku hizi wameipita teke.
Screenshot_2026-10-06-22-16-19-292_com.android.chrome~2.jpg
 
Back
Top Bottom