Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

Habari jamani

Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta.

Nawasilisha
weka vzr basi title ukisema mjuaji ni kama much know yaani mtu anyejifanya anajua wakati hajuai wakati mwamba ni reliable source kwa habari nyingi za hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…