Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hiyo mbona ndiyo sahihi au wewe ni ***** au basha ulitaka wanaume wabashiane ? Mbele mwanaume kati mwanamke nyuma mwanaume ndiyo standard...au wewe unapenda kupakatwa na kidume mwenzio nyuma ?mimi huwa naona fedhea sana mwanaume kukaa nyuma ya mwanaume mwenzie ...Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.
Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao
Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili
Inasikitisha sana kwa kweli.Na hapo bado sasa hujaambiwa story za huko kwenye vitambaa vyeupe, watu wanagongana live! Unaambiwa ukienda dar, nenda wew kama wew akili utazikuta huko!
Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.
Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao
Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili
Huwa nachoka nikiona mtu mzima anakula vichwa vya kukuDar imejaa laana
Kama mtu na akili zake anaamua kula utumbo na makongoro ya kuku.