Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.

Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao

Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili
Kikubwa kufika salama
 
Dah! Inashangaza kwel-kweli. Hivi haiwezekani kumwona Ke kama mtu/Binadamu wa kawaida na kumheshimu bali kila unapomwona Ke unafikiria habari ya Ngono tuu? Hivi shuleni, Kanisani, kwenye Vikao au Mikutano ya hadhara, wakihudhuria Ke na ww ukabahatika ukawepo, itakuwa husikilizi kinachoendele bali unajikita kwenye kukagua sketi tu???!:KEKBye:
Haipendezi hiyo kitu mawazo hayapo kwenye ngono. Huo sio ustaarabi
 
Dah! Inashangaza kwel-kweli. Hivi haiwezekani kumwona Ke kama mtu/Binadamu wa kawaida na kumheshimu bali kila unapomwona Ke unafikiria habari ya Ngono tuu? Hivi shuleni, Kanisani, kwenye Vikao au Mikutano ya hadhara, wakihudhuria Ke na ww ukabahatika ukawepo, itakuwa husikilizi kinachoendele bali unajikita kwenye kukagua sketi tu???!:KEKBye:
Unafanya vyote kwa pamoja, unasikiliza pia unakagua sketi
 
Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.

Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao

Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili
Mwasibu una tabia kama za Mabushmen! Sasa cha ajabu ni kipi hapo!
 
Huu mfano mbona sio Dar tu.Kama ni hivyo basi usukumani napo pazingatie.

Kuna siku nilikuwa Geita na shida ya kwenda Kakola.Nilienda parking ya magari ya Kakola(Nyankumbu) nikakuta gari hamna.

Boda akaja akaniuliza Kakola twende nikasema poa.Bei tukaelewana gafla akasema ngoja nipate abiria mwingine nikamwambia sina kulipa pesa unayotaka?gafla sikaja mama yuko serious kupanda nikamwambia jamaa hatakama ni haraka we tembea na huyo.

Hiyo ni ya kwangu.Ukitaka kujua utata wa hili ulizia wenyeji wa Kakola wakwambie boda zinazoenda Nyamishiga sijui Nyangalata huwa wanapakia vipi.Asee kuna watu wanaishi bhana dunia ina maajabu mengi.
 
Mkuu mimi nachombeza tu
Muhaji sijafika miaka isiyopungua 20 na zaidi.
Sijui hata kukoje miaka hii.
Wakati huo kulikuwa na basi moja tu kwenda huko kutoka Njombe CDB.
Halafu ukishuka pale stendi unakutana na usafiri wa Baiskeli ukupitishe kwenye ule msitu.
sasa muhaji si mjini kabisa mkuu, labda wa makete ndanindani bulongwa huko
Uhaj
 
Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.

Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao

Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili
Walishasema hivi hamwelewi? Aibu utaona mwenyewe!
 
Back
Top Bottom