Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 2,208
- 3,986
Kabisa ila pia utamaduni unachangia, ni vitu hatujavizoea ila kiafya sidhani kama kuna shida kula miguu na vichwa ya kuku.Ila ni vitu ambavyo kiuhalisia havipaswi kuliwa.
Kabisa ila pia utamaduni unachangia, ni vitu hatujavizoea ila kiafya sidhani kama kuna shida kula miguu na vichwa ya kuku.Ila ni vitu ambavyo kiuhalisia havipaswi kuliwa.
Hii niliikuta Mwanza aseeInasikitisha sababu umeshangaa kitu kidogo sana mpaka uituhumu Dar. Kuna vitu huko ukijionea si utasimulia ukoo? 😁😁😁
Mimi nlishangaa Iringa bajaji imebeba watu wa4[watatu nyuma, mmoja mbele na dereva], halafu ikawa inatafuta abiria mwingine.
Kumbe na seat ya dereva nayo inabeba abiria wawili na dereva anakuwa wa3😁😁😁
Tena kuku broilerDar imejaa laana
Kama mtu na akili zake anaamua kula utumbo na makongoro ya kuku.
Vipi mkeo asindikizwe na jirani Yako wa kiume sokoni utajisikiaje?Dah! Inashangaza kwel-kweli. Hivi haiwezekani kumwona Ke kama mtu/Binadamu wa kawaida na kumheshimu bali kila unapomwona Ke unafikiria habari ya Ngono tuu? Hivi shuleni, Kanisani, kwenye Vikao au Mikutano ya hadhara, wakihudhuria Ke na ww ukabahatika ukawepo, itakuwa husikilizi kinachoendele bali unajikita kwenye kukagua sketi tu???!![]()
7 wachache mpaka 12 wana kaa watatu wanakaa nyuma ya siti ya nyuma pale kwa juu halafu wawili wananing'inia nyuma ya bajaji wanne siti ya nyuma wawili mbele dereva watatuInasikitisha sababu umeshangaa kitu kidogo sana mpaka uituhumu Dar. Kuna vitu huko ukijionea si utasimulia ukoo? 😁😁😁
Mimi nlishangaa Iringa bajaji imebeba watu wa4[watatu nyuma, mmoja mbele na dereva], halafu ikawa inatafuta abiria mwingine.
Kumbe na seat ya dereva nayo inabeba abiria wawili na dereva anakuwa wa3😁😁😁
Hujakaa dar,siku ukikaa utawaomba radhi bure ,mimi niliwahi kuwafananisha na wanyama,ila hivi sasawanisamehe bureNimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.
Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao
Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili
haha najua mkuu, hata sijawahi kufika napasikia tu, lupembe na makete nimefikaMkuu mimi nachombeza tu
Muhaji sijafika miaka isiyopungua 20 na zaidi.
Sijui hata kukoje miaka hii.
Wakati huo kulikuwa na basi moja tu kwenda huko kutoka Njombe CDB.
Halafu ukishuka pale stendi unakutana na usafiri wa Baiskeli ukupitishe kwenye ule msitu.
Uhaj
Poa kabisa, tena najisikia ufahari kwamba mke wangu bado anadai. Cha msingi ni kutunza uaminifu tu.Vipi mkeo asindikizwe na jirani Yako wa kiume sokoni utajisikiaje?
Dereva kakaa upande kama anacheza penalty kwenye PS😂😂Nilipanda vi probox kutoka Tarime kwenda Nyamongo, pale mbele tulikuwa tumekaa watu 3, dere amekaa tako moja, stering ameishika kwa prmbeni(kama anacheza ps😁), halafu ngoma inalaza mshale hatari, yaani roho juu hadi ufike. Sasa kule nyuma balaa lake watu wameshonana hadi kwenye buti na mizigo umo umo.
Ulichukua maelekezo?Mimi nilishawahi panda boda maana gari zilikuwa hakuna kabisa kwenda Geita mjini ilikuwa inaenda mida ya saa kumi na moja usiku nilikodi boda kutoka Katoro hadi Nyankumbu baada ya kutoka pale stend ya katoro tumetembea kidogo akasimamisha mdada tukasimama akasema nae anaenda Geita mjini tukamchukuwa mie nikakaa nyuma niliienjoy ile safari yaan dada alikuwa mzuri hatari
unaachaje samaki amejileta mwemyewe kwenye ndoanoUlichukua maelekezo?
Unawachukuliaje watu wa Njombe arifu?Huyu jomba katokea njombe tusimshangae sana
Ushawahi mpakata mwanamke huko kwa ubar??
Sina kumbukumbu... mtego huu...Ushawahi mpakata mwanamke huko kwa ubar??
Enheeee ikawaje??