Pluto thnker
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 456
- 941
mkuu namashaka kama kweli umezunguka Tanzania nzima, maana hilo jambo ni kawaida sana!
Naona huelewi ambacho tuna zungumzia unataka kuleta ligi. Hivi unaweza kaa mshikaki na mama yako au dada yako ? ukae nyuma yao huku umebambiaMbona kwenye daladala mnapanda?
Ulifanya vizuri kushuka, mmekubaliana bei halafu akupandishe mishkakiHuu mfano mbona sio Dar tu.Kama ni hivyo basi usukumani napo pazingatie.
Kuna siku nilikuwa Geita na shida ya kwenda Kakola.Nilienda parking ya magari ya Kakola(Nyankumbu) nikakuta gari hamna.
Boda akaja akaniuliza Kakola twende nikasema poa.Bei tukaelewana gafla akasema ngoja nipate abiria mwingine nikamwambia sina kulipa pesa unayotaka?gafla sikaja mama yuko serious kupanda nikamwambia jamaa hatakama ni haraka we tembea na huyo.
Hiyo ni ya kwangu.Ukitaka kujua utata wa hili ulizia wenyeji wa Kakola wakwambie boda zinazoenda Nyamishiga sijui Nyangalata huwa wanapakia vipi.Asee kuna watu wanaishi bhana dunia ina maajabu mengi.
Ana maind vitu ambavyo wenzake wanaona ni kawaida sana.Kaja town juzi na gunia la ukwaju ndio maana anaona kila kitu kama anaota
Sana tuu. Wote ni abiria kwa muda huo na sio mama na mtoto au kaka na dada.Naona huelewi ambacho tuna zungumzia unataka kuleta ligi. Hivi unaweza kaa mshikaki na mama yako au dada yako ? ukae nyuma yao huku umebambia
Huyu anaweza hata kuweka viatu kwenye frijiAna maind vitu ambavyo wenzake wanaona ni kawaida sana.
Duh! Hahahahaaaa.Huyu anaweza hata kuweka viatu kwenye friji
SawaSana tuu. Wote ni abiria kwa muda huo na sio mama na mtoto au kaka na dada.
Kama dereva ni ke mwanaume bado anatakiwa kukaa mwishoNa kama dereva ni Ke?
Sawa. Hoja ya mdau ni Ke na Me wasiofahamiana kupakia mshikaki boda moja.Kama dereva ni ke mwanaume bado anatakiwa kukaa mwisho
Ndiyo nikasema hivyo ndiyo sahihi mwanamke awe kati ...mfano umekuta boda ukapanda abiria wa kwanza ni wewe kidume kisha akaja demu unatakiwa kushuka na kumpisha apande yeye ndiyo wewe upande nyuma yake...ovaSawa. Hoja ya mdau ni Ke na Me wasiofahamiana kupakia mshikaki boda moja.
We shenzi nini🤣Huyu jomba katokea njombe tusimshangae sana
Utakaaa tu labda nisiwe mimi mwenye bodaKikubwa mwanamke asikae katikati.
Usishangae mshua ndo maisha yetu sisi watoto wa kimasikiniInasikitisha sababu umeshangaa kitu kidogo sana mpaka uituhumu Dar. Kuna vitu huko ukijionea si utasimulia ukoo? 😁😁😁
Mimi nlishangaa Iringa bajaji imebeba watu wa4[watatu nyuma, mmoja mbele na dereva], halafu ikawa inatafuta abiria mwingine.
Kumbe na seat ya dereva nayo inabeba abiria wawili na dereva anakuwa wa3😁😁😁
Ila afadhali hao x na Y. Sasa mimi huwa nashangaa na siwaelewi wa1e wanaokaa mshikaki wanaume watatu dereva wa nne! Unakuwaje comfortable mwanaume mwenzio kakaa nyuma yako zero distance? Ila Gen Z mna vitu vyenu vya kipekee.Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.
Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao
Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maa.hdili
Thubutuuu.Utakaaa tu labda nisiwe mimi mwenye boda
Xie xie
Hizi si nywele za kutochanwa ni dread hjzi zimesokotwa kabisa
Na hata huko mikoani kukiwa jiji tu yatakuwa haya hayaDar ni jiji la nobody cares, yanayochukuliwa kuwa ni aibu mikoani, Dar yamegeuzwa kuwa normal lifestyle.
Uko sahihi.Hiyo ni kukosa maadili au ndio usafiri wa common mwananchi shitholeni!
Unachaguaje namna ya kusafiri wakati huna njuluku za kujiposition, hali yako inakuforce ufike kwako sio tako la mteja mwingine km unataka chukua boda peke yako ize!
Hivi maadili ni kitu gani? Kuna reference mahali tukajifunze?