Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Sawa ni movie kali sijabisha,ila kuna mawe mengi makali Zaid yake, Hollywood bwana ina mawe yakutosha

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu kwakuwa watu tunatofautiana taste. Kuna series huwa sizielewi ila kuna watu huwaambii kitu. Mimi ninazozielewa kuna watu hawazielewi. So ni kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…