Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Mkuu kwa ufupi inahusu nini? Maana jina linatamanisha kweli.
Slum dog Millionaire Ndo movie kali ninayoikubali zaidi tangu Nimefika Duniani,

Na hadi Tuzo za oscar kipengele cha movie bora ya Mwaka ilipewa ile Movie, "Slum Dog Millionaire" Ile ndo movie Aisee.
 
Back
Top Bottom