Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Saving private Ryan ni miongoni mwa the best movies of all time kwenye medani za vita inafanana na vita halisi kwa mujibu wa war verans
 
One of the best, sichoki kuiangalia
Hili litambara ni la ukweli sana , kwanza design ya magari yaliyotumika humo[emoji95][emoji95][emoji95] . Halafu Kuna mwamba mmoja anaitwa coma-doof warrior au guitarist [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamaa anapiga gitaa kuhamasisha wenzake akiwa amefungwa mbele kabisa ya gari....hakika walioitengeneza hii movie walikuwa serious na kazi.
 
Sure Mkuu,

Kuna siku niliangalia behind the scenes ya hii filamu, aisee wenzetu wako mbali sana.

Nadhani pia mambo ya haki miliki itakuwa inawalipa vizuri, maana Bajeti yake sio mchezo
 
Hii ni series siyo movie
The Lord of the Rings na The Hobbit ni movies zenye mtiririko,

The Lord of the Rings: The Rings of Power ndio Series.

Ukitaka kufaidi nenda kaangalie The Lord of the Rings kisha The Hobbit ndio utaielewa vizuri The Rings of Power.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Almaarufu kama Jagwuar Po[emoji2936][emoji2935]
Kwakua Mimi ni mpenzi wa Action Movie, Hasa zile za Mkono na Siraha nyepesi kama visu na Upango. Basi huu uzi na ubarikiwe ukatuletee Movie nyingi za aina hii.
Nachukia Movie za Mapenz, Mabomu/Mabunduki na Technolojia za kiss*nge kama Maroboti nk.
 
Sure Mkuu,

Kuna siku niliangalia behind the scenes ya hii filamu, aisee wenzetu wako mbali sana.

Nadhani pia mambo ya haki miliki itakuwa inawalipa vizuri, maana Bajeti yake sio mchezo
Hii nayo naona itakuwa na mazingira kama ya kwenye mad max

Hili litambara ni la ukweli sana , kwanza design ya magari yaliyotumika humo[emoji95][emoji95][emoji95] . Halafu Kuna mwamba mmoja anaitwa coma-doof warrior au guitarist [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamaa anapiga gitaa kuhamasisha wenzake akiwa amefungwa mbele kabisa ya gari....hakika walioitengeneza hii movie walikuwa serious na kazi.
Mwamba hana kazi nyingine zaidi ya kutumbuiza tu, vibe la wale jamaa sio la nchi hii aisee.
 
Back
Top Bottom