Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Nje ya mada,nani kacheki john wick chapter 4 humu? Nyie mmemuelewa yule kipofu?
 
Ndugu zangu nimetizama movie nyingi sana kali, ila hii Apocalypto 2006 ni bonge la movie.

View attachment 2652775View attachment 2652776View attachment 2652777
Kuna Ile SALT ya Angelina Jolie....
Jasusi hatari anayetakiwa kumuua rais kwenye siku isiyo na jina (day X) hatari Sana.
images%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom