Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Mkuu, Naomba uiweke basi hapa...
Mwenyewe ni mdau wa hii movie Ila nashindwa ya kuipata niweke kwa PC yangu
 
Natamani niiangalie maana nimeona wadau wanaisifia sana nipo nai-download hapa.

But nimeangalia trailer yake YouTube ni kama hata mimi sijaielewa!!!
Mkuu unapakuwa movies kupitia Site gani au App gani..?
 
Back
Top Bottom