Movie hiyo pamoja na 3 Idiots huwa hazinichoshi kuangalia hadi leo hiiMi nimeangalia hadi nimechoka
😋chap bas! At least machungu yatapungua wakati tunaiangalia.....maana inaumiza moyo kweliHahaha.............I wish iwe kesho 🙈🏃🏃
Hahahaha..................kesho utanikuta City Pub kwenye ule Ukumbi wao wa Sinema 🤗😋chap bas! At least machungu yatapungua wakati tunaiangalia.....maana inaumiza moyo kweli
Eeee,tena jaman!? Nilijua tuangalizia ghetto?🙄Hahahaha..................kesho utanikuta City Pub kwenye ule Ukumbi wao wa Sinema 🤗
DP WORLD:THE TIMELESS CONTRACT SERIES 🎞🎥📽🎬 🔥🔥🔥🔥Ipo ya DP World
Hahaha...........unataka Vijana wanipige Babu yao, maana wana wivu sana kwa Wazee 🙈🏃🏃Eeee,tena jaman!? Nilijua tuangalizia ghetto?🙄
Hii sijawahi kuielewa kabisa, huenda inahitaji akili ya ziada....bora nibakie na war movies & intelligence series tu.Ulishaangalia Mad Max: Fury Road
Ni bora kusema ukweli....👊👊👊Ndugu zangu nimetizama movie nyingi sana kali, ila hii Apocalypto 2006 ni bonge la movie.
View attachment 2652775View attachment 2652776View attachment 2652777
Vijana michosho tu,nyie ndo wenyewe sasaHahaha...........unataka Vijana wanipige Babu yao, maana wana wivu sana kwa Wazee 🙈🏃🏃
Sina mbio Babu yao, hapo ndiyo hofu yangu ilipo 🙈Vijana michosho tu,nyie ndo wenyewe sasa
Natamani niiangalie maana nimeona wadau wanaisifia sana nipo nai-download hapa.Hii sijawahi kuielewa kabisa, huenda inahitaji akili ya ziada....bora nibakie na war movies & intelligence series tu.
🤣🤣🤣Na watakubonda🤸🤸Sina mbio Babu yao, hapo ndiyo hofu yangu ilipo 🙈
Mkuu unapakuwa movies kupitia Site gani au App gani..?Natamani niiangalie maana nimeona wadau wanaisifia sana nipo nai-download hapa.
But nimeangalia trailer yake YouTube ni kama hata mimi sijaielewa!!!
Thanks ntachek you tube badaeNi movie kali ya action/adventure siwezi kukuelezea kwa ufupi ukaielewa vizuri. Ili uelewe inabidi niandike gazeti.
Wewe itafute utakuja kunishukuruView attachment 2652804
We nae unazingua. Unafatilia movie kweli?Ndugu zangu nimetizama movie nyingi sana kali, ila hii Apocalypto 2006 ni bonge la movie.
View attachment 2652775View attachment 2652776View attachment 2652777
Unazidi kunitisha, nevertheless nitakuja na Walinzi 🤗🤣🤣🤣Na watakubonda🤸🤸