Acha maskhara wewe, hicho kimfereji cha maji chumvi ndiyo mradi mkubwa?Habari wanajamvi,kama kichwa kinavyojieleza,ukitoa ule mradi wa mto Nile,
kwa hapa Africa kuna mradi mkubwa na ulio bora kuliko uliopo Hombolo bwawani Dodoma?
karibuni hombolo kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)
siyo zabibu tu,hata nyanya,bamia,mihogo,mbogamboga nk.
Kuna gharama gani za kuchangia hapo ili uweze kupata eneo la kufanyia kilimo?? au ni bure??
Kilimo hicho kinasaidiaje kuondoa njaa Dodoma na Tanzania kwa ujumla? Au Ni msaada wa mboga kwa eneo Dogo tu?Habari wanajamvi,kama kichwa kinavyojieleza,ukitoa ule mradi wa mto Nile,
kwa hapa Africa kuna mradi mkubwa na ulio bora kuliko uliopo Hombolo bwawani Dodoma?
karibuni hombolo kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)
siyo zabibu tu,hata nyanya,bamia,mihogo,mbogamboga nk.
Kilimo hicho kinasaidiaje kuondoa njaa Dodoma na Tanzania kwa ujumla? Au Ni msaada wa mboga kwa eneo Dogo tu?
tutajie mradi wa umwagiliaji mkubwa unaoufahamu,tunogeshe mjadala sisi wengine hatufahamuAcha maskhara wewe, hicho kimfereji cha maji chumvi ndiyo mradi mkubwa?
Tembea uone ndugu yangu
Poa jitahidi mkuuntajitahd kesho niwawekee
Tupatie maelezo zaidi au weka namba yko tukucheki mkuu
Mleta mada mi naona ungeweka, vitu muhimu zaidi ya kutaka kujua tu kama kuna mradi mkubwa zaidi ya huu ulioueleza, tuwekee bei ya kukodi shamba na gharama nyingine pamoja na mategemeo baada ya mavuno, itasaidia kwa ataependa kuwekeza huko"