Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

"Sasa hao ndio wanao takiwa, mwanamke inabidi akae tu hatakiwi apate tabu, kama ni kazi mtafutie house girl,

Hujaoa mke ili akufulie kwa kuwa yeye sio dobi au akupikie kwa kuwa yeye sio mpishi "
Sio maneno yangu , bali maneno ya sheikh Kipozeo
Hance weeh kwahyo mke akae tu asubilie....
 
mtoa post atakuwa mwanaume wa mikoani😱😱😱😱😱😱
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mm naona maana hizi camera za insitagaramu hizi zinadatisha Sana watu, Muone live uone Kama hujarudi na Uzi wakukanusha , bora hata Mama G
 
Na mimi nausa dawa ya asili
 
Aka kabinti kazuri sema kanautumia vibaya uzuri wake kazi kudanga tu mahotelin
 
Uzuri upo tofauti kwa kila mtu mimi binafsi namuona hovyo

Unaweza na ukakuta papuchi inanuka ng'e na mimaji kibao na kucheza sindimba hawezi

Siku hizi hao wanapenda sana kurap na Dawa yao wakirap we funga magoli ya kutosha tuuu
Kurap ndo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…