Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

suala la uzuri wa mwanamke inategemea na mtazamo wa mtu mwenyewe, binadamu tunatofautiana katika kuona.. huyo tunda naona ni ''make up ''sana ndo zinamweka mjini ila anaishi maisha ya gharama sana na hayo maisha ya gharama sana ndo yanamfanya kwa watu aonekane wa gharama , na kama tunavyojua ya kwamba kitu cha gharama lazima kiwe kizuri
 
Tembea ndio utaona warembo ndugu oooh! We unaona mademu wa insta ndio unakurupuka! Kuna vyombo hatar wewe ukiviona unaweza ukahonga hela ya urithi yote!
Aende Galapo! Alafu ndo aje aseme nani mzuri
 
Utakua paedophile wewe ndio maana unamuona mzuri
 
Back
Top Bottom