hehehe kumbe tuko wengi..nikikaa tu kdgo naenda kuchek updates kwa Mange[emoji2] [emoji2]Leo watu mmeamka na ushwaini sana .. Naona thread za mademu tu leo..
Ngoja nirudi kwa mange kule insta nikaangalie update
[emoji76] [emoji76] [emoji76] naomba urafikihata hanizidi[emoji56]
Kwa hiyo mimi nishakuwa tunda ??Naona umekuja kujipa promo huku ili kupima upepo
[emoji1]Mtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??
Yaan ni sawa kumlinganisha Kim Kardashian na Shilole
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Bint yuko vzur sana, nilikuwa namsikia tu ila leo hatimae nimeona picha
Kweli mkuu, tupo wote.. sijaona huo unaoitwa uzuri hapo. Kama weupe ndo unaitwa uzuri sawaSidhani kama hata nikikutana naye naweza kugeuza shingo nikamtazama. Kwa mtazamo wangu namuona ni msichana wa kawaida tu pamoja na kuwa anatumia vipodozi vingi.
Wa kawaida sana huyo. Hizo product dizaini yake zipo nyingi sana tena kali kumzidi hata yeyeUmeona eeh, demu yupo vizuri sana yaan daah