Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

mkuu we n mmilki wa io Pub au?km umteja nami umenipata Mkuu.
Nakuja

Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
 
mnampaisha tu lakini lv yake ndogo sana bongo kuna mademu wakali sio hao wauza sura wanaotumiwa na kila mtu
 
Wife immaterial, siwapendi hao, hata kukanda maandazi hawajui. They depend on the power they have btn their legs.
"Sasa hao ndio wanao takiwa, mwanamke inabidi akae tu hatakiwi apate tabu, kama ni kazi mtafutie house girl,

Hujaoa mke ili akufulie kwa kuwa yeye sio dobi au akupikie kwa kuwa yeye sio mpishi "
Sio maneno yangu , bali maneno ya sheikh Kipozeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…