Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 961
- 1,380
Panda gari zinazoelekea Mburahati au mabibo kupitia luhanga, unaanza kituo cha kigogo police post, lakini wewe shuka kituo kinachofuata cha kigogo mwisho. Then warudi nyuma kidogo km mita 10 hivi. Inaitwa Palm View Pub au castle lite pubNdugu nielekeze hilo chimbo nije nijionee vyuma, ila nihakikishie kama wanazo chura...
Huyo demu nae ni matawi?? Anafanya shughuli gani hapo mjini zaidi ya umalaya?? Matawi unawajua wewe??Sasa wewe wahudumu wa bar ndio wa kuwalinganisha na mtoto kisu alaf matawi kama tunda??
Hahahaha hiyo nafasi haitokeagi twice in a lifetime ,pole sana ulitakiwa u act uchizi hapo hapo safari hotel ,regardless ya status yako ,macho ya watu au yupo na nani ,mimi huwa najitoa muhanga mambo mengine kwenye dunia hayajirudiiKuna manzi mmoja nilikutana nae pale Safari Hotel mwaka 2009.. Kwanza ile kumwona tu nilishtuka na mpaka leo hajatoka kwenye ubungo wangu. Sijawahi kumwona mwanamke mzuri vile maishani iwe live ama kwenye TV.. Bahati mbaya sijawahi kumwona tena huyo mwanamke
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tunda Malaya tu
Kwa hiyo tunda una mchukuliaje au kwa kuwa una muona akifanya kazi ya u video queen ukajua ana dhiki sana??Huyo demu nae ni matawi?? Anafanya shughuli gani hapo mjini zaidi ya umalaya?? Matawi unawajua wewe??
Sasa Miss changa ulichoona kwenye hiyo picha ya mwisho si hali ya kawaida kwa mwanamke yeyote ? Kasoro mjamzito ?halafu kuna jambo kama nimegundua siri yangu angalia picha vizuri
Tuma wa kwako mkuu tulinganishe , sio kutoa povuMsituletee utani nyiee! !
Kama hamjui watoto wazuri ulizeni! Sio hayo maukindu yenu ya kuchovya!
Sema miss bana umeona nini??acha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fidodido tu huyo
Mkuu tatizo lilikuwa mimi ndio naingia yeye akawa anatoka.. Alafu alikuwa peke yake kapaki ndinga yake hapo nje.. Ilibidi nisimame kama bubu tu nimwangalie anavyoingia kwenye gari, akawasha akatokomea kuelekea kule AICC.. Aisee ile kashatokomea ndio fahamu zikanirudia.. Hicho kitu kinaniuma mpaka leo hiiHahahaha hiyo nafasi haitokeagi twice in a lifetime ,pole sana ulitakiwa u act uchizi hapo hapo safari hotel ,regardless ya status yako ,macho ya watu au yupo na nani ,mimi huwa najitoa muhanga mambo mengine kwenye dunia hayajirudii
wewe Geniveros mimi najua ugonjwa wako upo kwa wahindi, usijali siku itafika nitawaweka piahamuwajui wazuri nyie
Sasa ndio uniambie.. Elimu yake, Kazi yake na familia aliyotokea vinafaa kumuweka huko kwenye matawi??Kwa hiyo tunda una mchukuliaje au kwa kuwa una muona akifanya kazi ya u video queen ukajua ana dhiki sana??
Aiseee mkuu sasa kwani kuingia Safari hotel ulikua unaingia kwenye Boeing kwamba huruhusiwi kutoka ukishaingia ? Dah ila kuna vitu kweli ukiviona unashindwa kutoa realtime response ,sikulaumu sanaMkuu tatizo lilikuwa mimi ndio naingia yeye akawa anatoka.. Alafu alikuwa peke yake kapaki ndinga yake hapo nje.. Ilibidi nisimame kama bubu tu nimwangalie anavyoingia kwenye gari, akawasha akatokomea kuelekea kule AICC.. Aisee ile kashatokomea ndio fahamu zikanirudia.. Hicho kitu kinaniuma mpaka leo hii
[emoji122] [emoji122] wordSasa ndio uniambie.. Elimu yake, Kazi yake na familia aliyotokea vinafaa kumuweka huko kwenye matawi??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]wewe Geniveros mimi najua ugonjwa wako upo kwa wahindi, usijali siku itafika nitawaweka pia
Yeah that's that homie.. Ila nimejiapiza ikinikuta nyingine sitafanya mzaha..Aiseee mkuu sasa kwani kuingia Safari hotel ulikua unaingia kwenye Boeing kwamba huruhusiwi kutoka ukishaingia ? Dah ila kuna vitu kweli ukiviona unashindwa kutoa realtime response ,sikulaumu sana
Plate number zilikua za wapi ?
ish we n mbulula kweli kwan msichana cheap hawezi kua mzurMtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??
Yaan ni sawa kumlinganisha Kim Kardashian na Shilole